SirChief
JF-Expert Member
- Jun 23, 2014
- 3,304
- 3,367
Marekani imetoka Iraq 2014.Miaka 4 baadae uwaambe tena wamarekani nchi inaingia vitani,Tena kwa sababu za kipuuzi kabisa.Mnachekesha kweli yaani marekani mpaka sasa hajapataga tu sababu ya kuishambulia Iran?
Kwa kiburi hichi Iran anacho onesha kwa huyo anaye jiita polisi wa dunia basi hatopata sababu mpaka mwisho wa dunia.
Tatizo nyinyi wapambe wa marekani hamutaki kukubali ya kwamba dunia imebadilika sana.