Donald Trump amfuta kazi Mshauri wake wa masuala ya Ulinzi na Usalama, John Bolton

Mnachekesha kweli yaani marekani mpaka sasa hajapataga tu sababu ya kuishambulia Iran?
Kwa kiburi hichi Iran anacho onesha kwa huyo anaye jiita polisi wa dunia basi hatopata sababu mpaka mwisho wa dunia.
Tatizo nyinyi wapambe wa marekani hamutaki kukubali ya kwamba dunia imebadilika sana.
Marekani imetoka Iraq 2014.Miaka 4 baadae uwaambe tena wamarekani nchi inaingia vitani,Tena kwa sababu za kipuuzi kabisa.
 
HehehehehheehMkuu Anguko La US Lina Anzia Mbali Sana Asee Ila Litatimia 2

Natamani Ijumaa Ifike Salama Nimsikie Khatibu Wasala Pale TEHRAN Atasema nn Kiukwel
Itaangushwa na nani sasa..Irani?? 🤣 🤣 🤣
 
Trump: I informed John Bolton last night that his services are no longer needed at the White house.

John Bolton: I offer to resign last night and Mr.President says "let's talk tomorrow.

So which is which. Trump unakwama wapi?
Trump alitaka awe wa kwanza kumfuta kazi ili aonekane kuwa ni Yeye alishinda na si John Bolton, na kitendo cha kumwambia kesho aongee alitaka aupate usiku wa ku-tweet.
 
Safiii sana, John Bolton, the worst ever politician, war monger, killer, foolish kabisa hilo jamaa, ni mpuuzi zaidi ya Trump
sura yake inaokanena ni Bandidu mwandishi wa kitabu cha Surrender is not an option lazima apende vita.. hapa bongo namfananisha na mahita hana msimu wa kucheka
 
Kuna kutopenda vita na kuogopa vita,Trump ni mtu abaye ogopa vita.
Yaan ni mtu muoga mno.
Trump hapendi vita ambazo ni pointless/ unnecessary war.Mskilize interview zake miake ya 2000s,wakati US inapigana vita hovyo.Hajawahi support vita hata moja.Na msimamo wake ni ule ule hadi leo.Anasema kuna baadhi ya vite marekani inapaswa kuziepuka kwa namna yeyote ile..
 
Elewa point yangu,using'ake tu bila kuelewa.Eti kiburi.yaani nchi kuwa na kiburi ni sababu ya US kuingia vitani?..Utawaambia wananchi wa marekani nchi inaingia vitani kwa sababu Iran wana kiburi??..Itatafutwa sababu nyingine ila sio hii ya nuclear wala kiburi..BTW wamarekani mwamehoka na vita,pia jeshi la marekani linahitaji rebuilding ndo Trump anachokifanya,Vita sio kama zile ngumi za mitaani brother
Wewe inaonekana ni mgeni kwenye siasa za mashariki ya kati.
Hivi unajua ni madhara gani atakayo pata marekani iwapo Irani atafanikiwa kumiliki Silaa za kinyukilia?au unaongea tu.
Ngoja nikufahamishe Iran ikifanikiwa kumiliki Silaa za nukilia hakuna atakaye mdhibiti tena na atafanya chohote anachotaka na hakuna atakaye thubutu kumkoromea hata mmoja.
Hata hicho kiburi cha Israel kuzishambuli kambi za wanamgambo wanao ungwa mkono na Iran ni kwa sababu anajua Iran hana Silaa za nukilia ,lakini Iran ingekuwa inamiliki silaa Izirael asingekuwa na hicho kiburi alichonacho.
 
John Bolton mzee wa kukiwasha,atakuwa amefura kwa hasira huko aliko,maana mipango yake haijafanikiwa hasa Iran,korea nk.
 
Wewe inaonekana ni mgeni kwenye siasa za mashariki ya kati.
Hivi unajua ni madhara gani atakayo pata marekani iwapo Irani atafanikiwa kumiliki Silaa za kinyukilia?au unaongea tu.
Ngoja nikufahamishe Iran ikifanikiwa kumiliki Silaa za nukilia hakuna atakaye mdhibiti tena na atafanya chohote anachotaka na hakuna atakaye thubutu kumkoromea hata mmoja.
Hata hicho kiburi cha Israel kuzishambuli kambi za wanamgambo wanao ungwa mkono na Iran ni kwa sababu anajua Iran hana Silaa za nukilia ,lakini Iran ingekuwa inamiliki silaa Izirael asingekuwa na hicho kiburi alichonacho.
Kumiliki nuclear haimaanishi utazitumia tu kijinga jinga hata kwenye minor conventional war.Israel wana hizo Nuclear toka miaka ya 80s lakini kuzitumia ni issue nyingne kabisa.Paristan na India wote wana Nuclear ila kila siku wanzinguana na hakuna aneyedhubutu kurusha hiyo nuke.Kwa hiyo hata Iran akiwa na Nuclear haitamzuia Israel kujilinda conventionally where necessary,Mfano kule syria myahudi hataki kabisa uwepo wa Iran,na hata kama iran angekuwa na Nuclear bado msimamo wa Israel utabaki pale pale,na Iran atashambuliwa tu akiwa Syria.
 
Duu wewe sio muelewa hata kidogo.
 
Ndugu yangu Mimi naona hatuelewani hata kidogo ninacho maanisha nchi ikisha miliki Silaa za nukilia ni ngumu sana kuishambulia.
Vihi fikiria Pakistani asingekuwa na hizo Silaa si angekuwa amemezwa na India Siku nyingi?
Inamaana nukilia ndio kinga yake
 
Back
Top Bottom