Hapendi Vita Au Anakumbana Na Uzto Katika Hizo Nchi Lengwa MkuuT
Trump ni mtu ambae hapendi vita tofauti na watu wanavyomfikiria
Kuna kutopenda vita na kuogopa vita,Trump ni mtu abaye ogopa vita.T
Trump ni mtu ambae hapendi vita tofauti na watu wanavyomfikiria
Hahah et li kujiudhulu. Kujiuzulu mkuu ndo right wordKutokana na System ilivyobadilika duniani ya kukataa kukandamizwa ni lazima wajiudhulu kama hivyo, kujiudhulu huku kunatokana na misimamo dhabiti ya nchi kama N.korea, Iran, Venezuela, Syria nk, Siasa za marekani siku izi hazina mvuto hio unatokana na mivita ya ovyo, na huo ndio mwanzo tu, kitakachofuata huko mbele itakujakua ni kumbukumbu kwenye vitabu tu
Hahah et li kujiudhulu. Kujiuzulu mkuu ndo right word
Trump anaangalia maslahi zaidi, je akipigana vita ata gain chochote au apigane tu aloose rasilimali lakini apate heshima ya kuwa mbabe wa vitaKuna kutopenda vita na kuogopa vita,Trump ni mtu abaye ogopa vita.
Yaan ni mtu muoga mno.
maji yamezidi unga mkuu!Trump anaangalia maslahi zaidi, je akipigana vita ata gain chochote au apigane tu aloose rasilimali lakini apate heshima ya kuwa mbabe wa vita
Ni lini marekani akashindwa kuingia vitani eti kwa sababu ya kuogopa gharama?basis hichi ni kichekesho.Trump anaangalia maslahi zaidi, je akipigana vita ata gain chochote au apigane tu aloose rasilimali lakini apate heshima ya kuwa mbabe wa vita
Hawa wote vichaa tuHivi nani mkweli hapo...!!!View attachment 1204010View attachment 1204011
Trump ashazoeleka, dishi lake limeyumbaHivi nani mkweli hapo...!!!View attachment 1204010View attachment 1204011
"Kujiudhulu, wajiudhulu....." Aah wasomi na wachambuzi wa kisiasa wa bongo bwana hamjambo🤔🤔🤔🤔Kutokana na System ilivyobadilika duniani ya kukataa kukandamizwa ni lazima wajiudhulu kama hivyo, kujiudhulu huku kunatokana na misimamo dhabiti ya nchi kama N.korea, Iran, Venezuela, Syria nk, Siasa za marekani siku izi hazina mvuto hio unatokana na mivita ya ovyo, na huo ndio mwanzo tu, kitakachofuata huko mbele itakujakua ni kumbukumbu kwenye vitabu tu
"Katibu wa sala" Nikahisi katibu wa vita..... Aah mnatania!!!!!😁😁😁HehehehehheehMkuu Anguko La US Lina Anzia Mbali Sana Asee Ila Litatimia 2
Natamani Ijumaa Ifike Salama Nimsikie Khatibu Wasala Pale TEHRAN Atasema nn Kiukwel
Wahuni hao wanaficha aibu ya taifa kubwa kutishwa na Iran na North Korea!
Tulikuwa tunamzungumzia Trump hiyo Marekani imeingiaje tena hapo.Ni lini marekani akashindwa kuingia vitani eti kwa sababu ya kuogopa gharama?basis hichi ni kichekesho.
So kwa sababu umeshika nyundo,unafikiri kila tatizo linatatuliwa kwa kugongwa kama msumari,Ni upumbavu mkubwa sana.Marekani kwa sasa iko very divided,Ni ngumu sana kuuaminisha uma kwamba Iran ni Threat kwa US basi nchi ina ulazima wa kuingia vitani.Labda itafutwe sababu nyingine ila sio hii ya Nuclear.Ni lini marekani akashindwa kuingia vitani eti kwa sababu ya kuogopa gharama?basis hichi ni kichekesho.
Taahira huyo aliwahi ku-tweet 'Despite the constant negative press covfefe.'Trump ashazoeleka, dishi lake limeyumba
Mnachekesha kweli yaani marekani mpaka sasa hajapataga tu sababu ya kuishambulia Iran?So kwa sababu umeshika nyundo,unafikiri kila tatizo linatatuliwa kwa kugongwa kama msumari,Ni upumbavu mkubwa sana.Marekani kwa sasa iko very divided,Ni ngumu sana kuuaminisha uma kwamba Iran ni Threat kwa US basi nchi ina ulazima wa kuingia vitani.Labda itafutwe sababu nyingine ila sio hii ya Nuclear.
Elewa point yangu,using'ake tu bila kuelewa.Eti kiburi.yaani nchi kuwa na kiburi ni sababu ya US kuingia vitani?..Utawaambia wananchi wa marekani nchi inaingia vitani kwa sababu Iran wana kiburi??..Itatafutwa sababu nyingine ila sio hii ya nuclear wala kiburi..BTW wamarekani mwamehoka na vita,pia jeshi la marekani linahitaji rebuilding ndo Trump anachokifanya,Vita sio kama zile ngumi za mitaani brotherMnachekesha kweli yaani marekani mpaka sasa hajapataga tu sababu ya kuishambulia Iran?
Kwa kiburi hichi Iran anacho onesha kwa huyo anaye jiita polisi wa dunia basi hatopata sababu mpaka mwisho wa dunia.
Tatizo nyinyi wapambe wa marekani hamutaki kukubali ya kwamba dunia imebadilika sana.