Donald Trump amfuta kazi Mshauri wake wa masuala ya Ulinzi na Usalama, John Bolton

T

Trump ni mtu ambae hapendi vita tofauti na watu wanavyomfikiria
Hapendi Vita Au Anakumbana Na Uzto Katika Hizo Nchi Lengwa Mkuu

Mgogoro Wa Iran Na Us Hauja Anza Utawala Wa Trumpet Zmepita Tawala Mingi Mnoo Nazimeacha Huu Mgogoro

Mgogoro Wa US Na Korea Hua Hauja Anza Leo Zimepita Tawala na Tawala Zkmeuacha

Mgogoro wa US Na Venezuela Sio Waleo Wamepita watu nawatu na wameuacha

Mgogoro nnaoweza sema ni Mgeni kwa US Ni Wa SYRIA na AFGHANISTAN 2 Pengine Na Bado Umekula Tawala Mingi
 
Kutokana na System ilivyobadilika duniani ya kukataa kukandamizwa ni lazima wajiudhulu kama hivyo, kujiudhulu huku kunatokana na misimamo dhabiti ya nchi kama N.korea, Iran, Venezuela, Syria nk, Siasa za marekani siku izi hazina mvuto hio unatokana na mivita ya ovyo, na huo ndio mwanzo tu, kitakachofuata huko mbele itakujakua ni kumbukumbu kwenye vitabu tu
Hahah et li kujiudhulu. Kujiuzulu mkuu ndo right word
 
People Who Shape Our World
17 August 2019

John Bolton : Full Address and Q & A : Oxford Union

Bolton was appointed as the Assistant to the President for National Security Affairs in 2018. Prior to his appointment, Bolton served as a senior fellow at the American Enterprise Institute and a contributor to FOX News. He served as United States Permanent Representative to the United Nations between 2005 and 2006. Prior to that appointment, Bolton served as Under Secretary of State for Arms Control and International Security. Bolton has authored numerous books regarding U.S. foreign and national security policy.
Source : OxfordUnion
 
Kuna kutopenda vita na kuogopa vita,Trump ni mtu abaye ogopa vita.
Yaan ni mtu muoga mno.
Trump anaangalia maslahi zaidi, je akipigana vita ata gain chochote au apigane tu aloose rasilimali lakini apate heshima ya kuwa mbabe wa vita
 
Kutokana na System ilivyobadilika duniani ya kukataa kukandamizwa ni lazima wajiudhulu kama hivyo, kujiudhulu huku kunatokana na misimamo dhabiti ya nchi kama N.korea, Iran, Venezuela, Syria nk, Siasa za marekani siku izi hazina mvuto hio unatokana na mivita ya ovyo, na huo ndio mwanzo tu, kitakachofuata huko mbele itakujakua ni kumbukumbu kwenye vitabu tu
"Kujiudhulu, wajiudhulu....." Aah wasomi na wachambuzi wa kisiasa wa bongo bwana hamjambo🤔🤔🤔🤔
 
Ushamba tu.Toka lini Iran akamtisha US.Iran anayechapwa hadi na Israel ndo matishie Nyau Us hiyo haiitaji hata hata akili kubwa.
Wahuni hao wanaficha aibu ya taifa kubwa kutishwa na Iran na North Korea!
 
Ni lini marekani akashindwa kuingia vitani eti kwa sababu ya kuogopa gharama?basis hichi ni kichekesho.
So kwa sababu umeshika nyundo,unafikiri kila tatizo linatatuliwa kwa kugongwa kama msumari,Ni upumbavu mkubwa sana.Marekani kwa sasa iko very divided,Ni ngumu sana kuuaminisha uma kwamba Iran ni Threat kwa US basi nchi ina ulazima wa kuingia vitani.Labda itafutwe sababu nyingine ila sio hii ya Nuclear.
 
Trump ashazoeleka, dishi lake limeyumba
Taahira huyo aliwahi ku-tweet 'Despite the constant negative press covfefe.'

Hilo neno COVFEFE mpk leo hii halijawahi kupatikana kwny dictionary yoyote tangu uumbwaji wa dunia.
 
So kwa sababu umeshika nyundo,unafikiri kila tatizo linatatuliwa kwa kugongwa kama msumari,Ni upumbavu mkubwa sana.Marekani kwa sasa iko very divided,Ni ngumu sana kuuaminisha uma kwamba Iran ni Threat kwa US basi nchi ina ulazima wa kuingia vitani.Labda itafutwe sababu nyingine ila sio hii ya Nuclear.
Mnachekesha kweli yaani marekani mpaka sasa hajapataga tu sababu ya kuishambulia Iran?
Kwa kiburi hichi Iran anacho onesha kwa huyo anaye jiita polisi wa dunia basi hatopata sababu mpaka mwisho wa dunia.
Tatizo nyinyi wapambe wa marekani hamutaki kukubali ya kwamba dunia imebadilika sana.
 
Elewa point yangu,using'ake tu bila kuelewa.Eti kiburi.yaani nchi kuwa na kiburi ni sababu ya US kuingia vitani?..Utawaambia wananchi wa marekani nchi inaingia vitani kwa sababu Iran wana kiburi??..Itatafutwa sababu nyingine ila sio hii ya nuclear wala kiburi..BTW wamarekani mwamehoka na vita,pia jeshi la marekani linahitaji rebuilding ndo Trump anachokifanya,Vita sio kama zile ngumi za mitaani brother
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom