Donald Trump amfuta kazi Mshauri wake wa masuala ya Ulinzi na Usalama, John Bolton

Waziri wa Kaskazini

JF-Expert Member
Dec 12, 2015
6,968
14,714
Rais wa Marekani Donald Trump amemuachisha kazi mshauri wake wa masuala ya usalama wa taifa, John Bolton, kwa sababu ambayo wengi wanaona kwamba ni uhasama kati ya wawili hao.

Vyanzo kadhaa vinabaini kwamba kumekuepo na tofauti kati yao. Donald Trump ameamua kuachana na mshauri wake wa usalama wa taifa John Bolton, na kumtaja, rafiki, kama kawaida yake, katika ukurasa wake wa twitter:

========

President Donald Trump said Tuesday he had fired National Security Adviser John Bolton after a string of disagreements between the two over how the U.S. should handle North Korea, Afghanistan and Iran. Trump announced on Twitter that he had asked for Bolton's resignation, which he received this morning, after the president had "disagreed with many of his suggestions."

47CC0A3A-7EBB-4AB1-B975-FB8D926109EC.jpeg


“I informed John Bolton last night that his services are no longer needed at the White House. I disagreed strongly with many of his suggestions, as did others in the Administration, and therefore I asked John for his resignation, which was given to me this morning,” Trump said on Twitter.

...I asked John for his resignation, which was given to me this morning. I thank John very much for his service. I will be naming a new National Security Advisor next week. — Donald J. Trump
 
disagreements between the two over how the U.S. should handle North Korea, Afghanistan and Iran.


wayaache hayo mataifa wafanye yao bana kwanini kuyaandama kila uchwao?
 
disagreements between the two over how the U.S. should handle North Korea, Afghanistan and Iran.


wayaache hayo mataifa wafanye yao bana kwanini kuyaandama kila uchwao?
Nambaya zaidi hawayawez sa wanahangaika 2 khatimae wana2mbhana wenyewe kwa wenyewe
 
Kutokana na System ilivyobadilika duniani ya kukataa kukandamizwa ni lazima wajiudhulu kama hivyo, kujiudhulu huku kunatokana na misimamo dhabiti ya nchi kama N.korea, Iran, Venezuela, Syria nk, Siasa za marekani siku izi hazina mvuto hio unatokana na mivita ya ovyo, na huo ndio mwanzo tu, kitakachofuata huko mbele itakujakua ni kumbukumbu kwenye vitabu tu
 
Mm kuna siku niliwah kuwambia humu kama saivi mpaka nchi za ulaya zinamkatalia marekani bila ya wasiwasi wowote inamaana marekani sasaivi amepoteza muelekeo, Dunia wameshtuka sasaivi hawataki mivita tena, kukataliwa kwa ile wanaoiita operation ya kulinda meli zao dhidi ya Iran inamaana Dunia imeshtuka sasaivi, kama Marekani sasaivi marekani sasaivi inafanya mazungumzo na eti wanaowaita magaidi huko Afghan inamaana maji yamezidi ungo, Juzi Tramp alisema kwa mara ya 6 nafkiri kuwa anataka mazungumzo na Iran, yaani hajakata tamaa juu ya kwamba Iran wamekataa mazungumzo hayo mpka kwa masharti mpaka vikwazo viondolewe, Pia tramp awe makini asijiingize cha kike juu ya hawa wayahudi, watampeleka pabaya sana
Screenshot_20190910_181546_com.twitter.android.jpeg
 
Trump: I informed John Bolton last night that his services are no longer needed at the White house.

John Bolton: I offer to resign last night and Mr.President says "let's talk tomorrow.

So which is which. Trump unakwama wapi?
 
Back
Top Bottom