Donald Trump aiomba Mahakama kuzuia FBI kukagua nyaraka alizokutwa nazo

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,370
8,107
Mawakili wa Rais huyo wa zamani wamemuomba Jaji wa Mahakama Kuu kuzuia FBI wasiendelee na zoezi la kukagua nyaraka za siri zilizopatikana nyumbani kwake na badala yake ateuliwe mtu maalum ambaye hahusiki na kesi hiyo.

Kwa mujibu wa ombi lililowasilishwa Mahakamani, Donald Trump anataka kuwepo usiri wakati wa ukaguzi wa nyaraka hizo kwa madai kuwa ipo kanuni inayoruhusu Marais kuzuia taarifa zao kuwekwa wazi kwa umma.

Katika kesi ya msingi, Trump anatuhumiwa kuhifadhi nyaraka 11 za siri zilizokutwa nyumbani kwake Agosti 8 baada upekuzi wa kushtukiza uliofanywa na maafisa wa Shirika la Upelelezi la Marekani (FBI).

============================

Lawyers for Donald Trump have asked a federal judge to prevent the FBI from continuing to review documents recovered from his Florida estate.

They are calling for the appointment of a special master not connected to the case who would inspect the records recovered and set aside those that are covered by executive privilege - a principle that permits presidents to withhold certain communications from public disclosure.

The request was included in a court filing that takes broad aim at the FBI investigation into the discovery of classified records at Mar-a-Lago.

The filing casts the 8 August search, in which the FBI said it recovered 11 sets of classified documents, as a "shockingly aggressive move" and describes the former president and his representatives as having cooperated for months.

"Law enforcement is a shield that protects America. It cannot be used as a weapon for political purposes," the lawyers wrote on Monday.

Explainer: Why did FBI raid Donald Trump's Mar-a-Lago estate - and what it is investigating

"Therefore, we seek judicial assistance in the aftermath of an unprecedented and unnecessary raid at Mar-a-Lago."

SKYNEWS
 
Back
Top Bottom