Donald Ngoma unajidanganya kwa Tb Joshua rudi ukawaombe radhi wazee wa yanga utafungukiwa na kupona goti

py thon

JF-Expert Member
Sep 11, 2016
2,471
4,424
Miaka kama 4 nyuma mzee mmoja au mbaba alikuwa anatupigia story na yeye ni mshabiki wa yanga sana ,alisema frank domayo alivyotua yanga wazee walimpa baraka nyingi ndio maana akawa anang'ara sana ila alivyoanza kuleta kiburi na kulazimisha kuondoka kwenda Azam ,mzee mmoja akaenda kumpangusa goti na kumuambia haya nenda huko Azam tokea hapo Domayo akawa haishiwi na matatizo ya goti na kapotea

Bwana Ngoma namshauri rudi kwa wazee wa yanga uombe radhi na upewe baraka huko kwa Tb Joshua unapoteza muda

Hujachelewa rudi uwaombe radhi wazee wa yanga jifanye mjinga na outcome yake utaniambia sisi hizi vilabu tunavijua

FB_IMG_15322841961636006.jpg
 
Ngoma ameshapona baada ya Maombezi ya Nabii TB Joshua huko Nigeria.
Mtamuona atakavyo anza kutiririka uwanjani hivi karibuni na Azam Sports Club.
Yesu huwa anaponya kabisa kabisa.
 
TB Joshua ni mjasiriamali tu.
Tusubiri kuona Ngoma atapona au la.
Akipona uje ufute kauli yako hiyo hapa hapa.
Ngoma hajacheza mda mrefu sana sababu ya kuwa majeruhi, tokea akiwa Yanga fc.
Hadi sasa ambapo hajaenda na timu yake ya Azam huko Uganda kwenye maandaliI ya Ligi.
Mimi nakuhakikishia baada ya haya Maombezi, Ngoma atakuwa fiti kabisa na kama kocha ataamua kumtumia basi atakuwepo kwenye mechi ya kwanza ya Ligi.

Let's Wait and See.

Tukutane hapahapa usikimbie.
 
Hawa wanigeria unasikia au unawajua?
 
Kwani uyo ngoma kawafanya nini kikubwa hadi akawaombe msamaha.Hao wazee siwakaloge iyo yanga ifanye vizuri kimataifa.
 
Hawa wanigeria unasikia au unawajua?
Mkuu Ulimakafu
Ulisema maombi ya TB Joshua, hayawezi kumponya Donald Ngoma.
Na mimi nilikuhakikishia kuwa Donald Ngoma amepona baada ya maombi.
Leo nataka nikuambie kuwa sasa Ngoma amepona na ameanza kucheza ligi ya TPL.
Mpaka sasa hivi kacheza mechi mbili akiwa mchezaji wa Azamu na yuko fiti kabisa.
Kacheza dhidi ya timu ya Lipuli na Prisoni.
Je bado una mashaka na nguvu ya maombi ya Jina la Yesu Kristo yanayo fanywa na Mtumishi wa Mungu TB Joshua ?
Niliahidi kukuletea mrejesho, na ndio huo.
 
kama ni kwa TB Joshua for sure bado hajapona, angeenda kwa wachungaji wenye upako na siyo kwa wa janja janja!
 
Miaka kama 4 nyuma mzee mmoja au mbaba alikuwa anatupigia story na yeye ni mshabiki wa yanga sana ,alisema frank domayo alivyotua yanga wazee walimpa baraka nyingi ndio maana akawa anang'ara sana ila alivyoanza kuleta kiburi na kulazimisha kuondoka kwenda Azam ,mzee mmoja akaenda kumpangusa goti na kumuambia haya nenda huko Azam tokea hapo Domayo akawa haishiwi na matatizo ya goti na kapotea

Bwana Ngoma namshauri rudi kwa wazee wa yanga uombe radhi na upewe baraka huko kwa Tb Joshua unapoteza muda

Hujachelewa rudi uwaombe radhi wazee wa yanga jifanye mjinga na outcome yake utaniambia sisi hizi vilabu tunavijua

View attachment 815992
Wakuu sana..

Sibonike Hajar Guasa Amboni Belo kyata Ulimakafu Turnkey Prince Kunta Kichwa Kichafu kichaa msafi na ndugu zenu...

Hivi kwanini hili litimu lenu linaendekeza haya maushirikina?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aloooh kumbe pale jangwani kuna kikundi Cha kutoa laana Basi hicho kikundi ndo kinaua mpira wa bongo
 
Back
Top Bottom