DONADONI atimuliwa

Belo

JF-Expert Member
Jun 11, 2007
12,823
9,987
Aliyekuwa kocha wa timu ya taifa ya Italy "AZZURI",Roberto Donadoni ametimuliwa baada ya kutolewa kwenye mashindano ya EURO 2008 na Hispania
Kocha wa zamani wa timu hiyo MARCELO LIPPI ndio anapewa nafasi kubwa ya kumrithi Donadoni kwani ndie aliyeiwezesha AZZURI kubeba kombe la dunia 2006
 

Wakunyuti

JF-Expert Member
Feb 11, 2008
380
12
Dah...ma timu ya wenzetu haya hayana subira...angekua maximo hapo angerudii uwanja wa ndege na kulakiwa na mapokezi ya kufa mtu..siku iyo bongo shughuli zote zingesimama..na watu wengine wangekufa kwa kuangukiwa na nyaya za umeme pale Tazara....na kesho yake atatembelewa hoteli na mkataba mnono wakuongezewa miaka mitano mbele.........
 

Primera dama

JF-Expert Member
Apr 21, 2008
827
164
Hao ndo wenzetu Bwana!ukichemka tu mara moja hawakupi muda yaani ni hapo hapo kazi huna!Tunasubiri na Domenech sijui itakuwaje
 

Primera dama

JF-Expert Member
Apr 21, 2008
827
164
Domenech is one cocky fella...he needs to be sucked ASAP!!!
Na sijui wanasubiri nini kumsuck!kachemsha sana safari hii alimuacha trezeguet sababu ya chuki binafsi!alikuwa anachemsha kumpanga mouluda wakati hata kucheza ni mchemshaji tu!mimi pongezi zangu nampa Guus Hiddink kawanyanyua sana warusi!kwa mara ya kwanza urusi iliifunga england kwenye makundi wakati wakitafuta washiriki!Na sasa imeonyesha haikubahatisha!

AsanteHollo
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Top Bottom