Don Williams enzi za uhai wake alikuwa Na Swaga

Baadhi kama its too late to love me now na just because I'm a woman nilishazisikiliza mkuu,ila hizo nyingine nitazitafuta nizipitie pia.

Kuna kolabo mpya ya Kenny na Dolly inaitwa we can't make old friends,dah hawa watu wanajua sanaaaaaa! Nadhani baada ya island in the stream na we got tonight, inafuata hii kwa ubora.
Sijaisikiza ngoja nizame YouTube mkuu
 
Kwenye hiyo album pia kuna nyimbo moja kali sana inaitwa the best woman win,dolly ni balaa haswaa,sijaona queen wa country zaidi yake
Who do you think you are what do yo think this is. The best woman wins I will fight to the end... May the best woman woman win

I will Neve r give up or give in May the best woman win

Naufaham Sana mkuu
 
kama kuna mdau anayo link nzuri ya kudownload hizi nyimbo atuwekee hapa au kama anazo sio mbaya pia akizitiririsha humu,napenda sana kusikiliza hasa nikiwa long safari naendesha.
 
Hellow ! My fellow Country Fans naomba muingie YouTube mstream au mdownload hitsong ya mwanadada Gretchen Wilson inaitwa "When I think about cheating "


Hii ni moja ya nyimbo chache sana kwa sasa ambazo zimeinvolve gitaa ,banjo , violin na piano kama old Country songs zilivyokuwa . This song is really dope.
 
Who do you think you are what do yo think this is. The best woman wins I will fight to the end... May the best woman woman win

I will Neve r give up or give in May the best woman win

Naufaham Sana mkuu

bonge moja la wimbo,naupenda sio kidogo mkuu,pamoja sana
 
Akhsanteni wahenga, uzi huu umetaja nyimbo zinazonikumbusha mbaaali, natamani zama zile zirudi
 
Watu wengi wamekuwa wakihusisha Country music na white Americans only ila kuna jamaa anaitwa Charley Pride huyu jamaa ni mmarekani mweusi Legend himself wa pure & traditional country music


Huyu mzee nampenda sana ukisikiliza nyimbo zake utaelewa ninachokisema ,He had the cool & gentle voice that I had never heard of before .

Hivi juzi kati kapewa tuzo ya heshima ya Grammy
Ana kibao chake cha Is Anybody going to San Antonie...nakikubali sana.Huyu jamaa nae yupo vizuri sana kwenye Mziki wa country.
 
dah loovee love love love on role. Kenny Rodgers naye mshenzi kanipigia the gambler, coward of the county Na ile Blockbuster waliyoshirikiana Na Dolly island good just bless them.

Je ushasikiza hizi nyimbo za Dolly Parton Na Porter Wagoner Kama bado please sikiliza available I you tube

If you go Al follow you
Together you and I
Tomorrow is forever
How could I cross your minute
pain of loving you
Just because am a woman
If tear drops were pennies
Lost forever in your kiss
It's too late to love me now
You are the last thing on my mind

Dolly Parton naye mshez
Wagoner yupo vizuri sana.Ndio aliyemtoa Dolly Parton na kumtambulisha kwenye game.
Parton kwenye collabo ni mzuri sana hata ukimsikiliza akifanya na Kenny Rogers unaburudika sana.
 
Copenhagen DN wanaume wengine hao hapo. Vyombo viwili tu vimetumika hapo. Hizo ni nyimbo from Rio Bravo movie, ambayo ningekushauri uiangalie December hii. Ni movie ya mwaka 1959.

Cc Malcom Lumumba
 

Attachments

  • Dean Martin & Ricky Nelson - My Rifle My Pony And Me_low.mp4
    3.4 MB · Views: 21
  • Ricky Nelson - - - Rio Bravo - - Cindy , Cindy_low.mp4
    2.1 MB · Views: 28
Nipo hapa la stanza yaani huu uzi imenigusa sana natamani huyu jamaa anayepiga manyanga niombe apige hiyo some broken heart loh mzee wangu anazile kanda zake za kuzungusha na pen na ndiyo alinifanya nizipende nyimbo zake.
 
Listen to the radio..... my favourite!!?
Jamaa fundi sana kwenye country music, nimeoenda anapimwambia demu sikiliza kwa redio kile inasema ndio nilichotka kukwambia dah sio domo zege ila ujumbe umefika kwa njia ya redio
 
Back
Top Bottom