bombei_safaya
JF-Expert Member
- Oct 12, 2014
- 309
- 272
Yule mama nae mpaka kumpa kolabo nahisi walikuwa wanajiuliza mara mbili mana kukosea mwiko manake sauti aliyokuwa anaitoa kama alien yule nae sio wa dunia yetu bhanaKeny Rodgers na Dolly Parton watakuwa wapweke sana kuondokewa na patner wao kwenye country Music.
coward of the country" ndo faourite song ya Kenny nayoikubali sana.
Pumzika salama Don