Civilian Coin
JF-Expert Member
- Dec 2, 2012
- 2,305
- 4,334
Nimekabidhi Masjala Jiji la Mwanza, na pia nimewarudishia PSSSF Kitambulisho Cha LAPF na Pesa zote wakitaka wale au wazigawane, Mimi hayanihusu.
Kwa hyo DON hutaki tena kuishi kweny ardhi ya baba jescaNimekabidhi Masjala Jiji la Mwanza, na pia nimewarudishia PSSSF Kitambulisho Cha LAPF na Pesa zote wakitaka wale au wazigawane, Mimi haya nihusu.@DON NALIMISON.View attachment 1526849
Utakuja utambue madhara ya kupoteza uraia siku za usoni leo waweza kuamua kwa hasira namna hiyo lakini uhalisia hukujileta duniani na una watu walioko ndani ya nchi wa familia yako...kila la kheri lakini inaonekana unapotea kaka...
Utaombaje passport? Au ukienda kumuona Malia visa utagongewa kifuani?