Don Nalimison nimerudisha Kitambulisho Cha Taifa la Tanzania(NIDA) kuanzia sasa sina Kitambulisho cha Uraia wa Tanzania

Soma barua yake vizuri, sahihi ni yake kwa jina lake la zamani ila sasa kabadilisha jina anataka kubadilisha sahihi.
Huyu jamaa ni majanga, eti kabadilisha jina kwa sababu tu alifungwa jela, hivi watu wote wanaofungwa jela leo hii waseme wanabadilisha majina itakuaje


Kweli huyu ni shida kwa hiyo jina kabadilisha kwa sababu alifungwa jela nadhani akili zake anaziweza mwenyewe.

Barua yake ipo upside down inachosha kuisoma haswa kama unatumia pc. Asante maelezo pia nimeelewa
 
Back
Top Bottom