Don Nalimison amwandikia barua Mkurugenzi Jiji la Mwanza kuacha Kazi na Ajira Serikalini

Civilian Coin

JF-Expert Member
Dec 2, 2012
2,305
4,332
Nimemwandikia Mkurugenzi wa Jiji la Mwanza(mwajiri) barua rasmi ya Kuacha Kazi na ajira Serikali yaani utumishi wa Umma kwa masilahi ya Taifa na Serikali ya MAGUFULI.

Wameshindwa kujua wajibu wao kama viongozi ndani ya serikali na pia kutothamini WATUMISHI wao walio chini,eti kisa nilikuwa nimefungwa ndio nisipate Haki zangu zote ikiwemo kutojibiwa barua zangu, Poa,

Mimi si wa kwanza Wala wa mwisho. Don Nalimison nimemkabidhi Mkuu wa Shule ya sekondari Mkolani Alasiri hii ili aifikishe mahala husika. Hii ni mfano wa barua yenyewe na madai yenyewe ya Don Nalimison.

Don Nalimison
+255 682 94 29 01.
E-mail: donnalimison70@gmail.com
MWANZA-Tz.

Nalimi.JPG
 
Ajira yako serikalini ilikoma rasmi siku ulipohukumiwa kifungo na mahakama halali. Hizi zingine ni mwembwe zako tu Don Nalimison.

Fuatilia tu wakulipe mafao yako kama ulifanya kazi kwa muda mrefu (japo hata hapa napo sijui sheria inasemaje kwa mtumishi aliyefungwa jela). Kila la heri Don la Madon

Hawako tayari kunipa MAFAO maana hakuna ushirikiano. Inatosha.
 
Kikubwa ungeanza kufatilia ni kwa nini hukupata msharaha, inawezekana ajira yako ilisitishwa kitambo kipindi upo kifungoni
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom