Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,936
- 40,518
Wakuu naombeni mnikaribishe humu ndani.
Feel at home man!
karibu sana
Karibu sana JF.................
No thanks umejibu kiufasaha majibu yangu karibu sana jf, most welcome don clericuzio1. Rais Magufuli sina coment''
2. Hii hii ndo ninayo, tunatakiwa tuwe na ngapi kwani?
3. Simba na Liverpool FC
4. JF nimeijua toka kipindi cha uchaguzi 2015, nilijaribu kujiunga nikawa sipati email ya kuconfirm nikaacha nikawa naingia kama guest
5. Kuna mtu tuko naye ofisini ni member wa JF, alitusimulia kuhusu thread yenye vitabu JF, nikamuuliza jinsi ya kuiaccess akasema ni lazima uwe member ndo nikajiunga; Je kuna kitabu chochote ulikuwa unakitaka?
Karibu amigo
Wakuu naombeni mnikaribishe humu ndani, nimekuwa member asiye na usajili kwa kipindi kirefu sasa, nimeamua nijiunge nanyi.
Jana nimefungiwa line ya tigo.
Hahaha, noma.
Yaaa vingi sana nahitaji, chochote ulichonacho nipatie..Je kuna kitabu chochote ulikuwa unakitaka?
Yaaa vingi sana nahitaji, chochote ulichonacho nipatie..
"2 una id ngapi humu". ,hatari sana ,unaweza fikiri wako milioni 100 kumbe ni watano tu1Unamzungumziaje rais magufuli
2 una id ngapi humu?
3 unashabikia timu gani
4 unaijua jf kwa namna gani
5 kwann umeamua kujiunga jf