Don Clericuzio

1Unamzungumziaje rais magufuli
2 una id ngapi humu?
3 unashabikia timu gani
4 unaijua jf kwa namna gani
5 kwann umeamua kujiunga jf
 
1. Rais Magufuli sina coment''
2. Hii hii ndo ninayo, tunatakiwa tuwe na ngapi kwani?
3. Simba na Liverpool FC
4. JF nimeijua toka kipindi cha uchaguzi 2015, nilijaribu kujiunga nikawa sipati email ya kuconfirm nikaacha nikawa naingia kama guest
5. Kuna mtu tuko naye ofisini ni member wa JF, alitusimulia kuhusu thread yenye vitabu JF, nikamuuliza jinsi ya kuiaccess akasema ni lazima uwe member ndo nikajiunga; Je kuna kitabu chochote ulikuwa unakitaka?
No thanks umejibu kiufasaha majibu yangu karibu sana jf, most welcome don clericuzio
 
1Unamzungumziaje rais magufuli
2 una id ngapi humu?
3 unashabikia timu gani
4 unaijua jf kwa namna gani
5 kwann umeamua kujiunga jf
"2 una id ngapi humu". ,hatari sana ,unaweza fikiri wako milioni 100 kumbe ni watano tu
 

Similar Discussions

5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom