maroon7
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 11,277
- 15,522
Habari ndo hiyo.... Bei ya kununua USD sasa imefika Tzs 2,300/= na ni kasi mwanzo mwisho hadi naogopa inataka kufika wapi. Kwa wanaofanya importation ni full maumivu sasa, ila kwa upande mwingine wanaofanya exportation ni neema kwao... Pande za Arusha naona ni neema maana dola zinaingia kwenye utalii safi kabisa.. kufa kufaana