Dola ya Marekani yapaa kufika 1$ = 2,400/-. Ina maana kwa bidhaa za nje hazishikiki bila Shaka Mafuta kupaa hivi karibuni

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,868
Habari wadau!

Soko la fedha halishikiki kwa Sasa inapelekea taasisi za kifedha kupandisha gharama za tozo na huduma mbalimbali ili kujiendesha na tutarajie pia Kodi kupanda na tozo mbalimbali.

Leo kwa mshituko kutoka katika mabenki rate ya kubadilisha fedha za kigeni imepanda Hadi kufika Dola moja kuuzwa 2,400 toka 2,350 iliyokuwa Dec 31, 2018.

Zimbambwe ilianza hivi tulivyoanza sisi na kwa bahati mbaya hatujui siasa za dunia zinataka Nini sie tumejifungia kubana wapinzani wa ndani hatutoki kuwabana wapinzani wa kiuchuni duniani.

Tujiandae kwa kupanda kwa Bei ya Mafuta ivi karibuni
 
Tunatembea vifua mbeeereeeeeee

In God we Trust
 
Mungu atustiri tusifikie kama Venezuela mana tutaumia sote shilingi ikianguka sana sio ccm wala cdm
 
Tanzania haitokaa iwe Zimbabwe...Uchumi wetu uko pagumu ila ni wakati wa kutoboa sasa
 
  • Thanks
Reactions: Abx
Habari wadau!

Soko la fedha halishikiki kwa Sasa inapelekea taasisi za kifedha kupandisha gharama za tozo na huduma mbalimbali ili kujiendesha na tutarajie pia Kodi kupanda na tozo mbalimbali.

Leo kwa mshituko kutoka katika mabenki rate ya kubadilisha fedha za kigeni imepanda Hadi kufika Dola moja kuuzwa 2,400 toka 2,350 iliyokuwa Dec 31, 2018.

Zimbambwe ilianza hivi tulivyoanza sisi na kwa bahati mbaya hatujui siasa za dunia zinataka Nini sie tumejifungia kubana wapinzani wa ndani hatutoki kuwabana wapinzani wa kiuchuni duniani.

Tujiandae kwa kupanda kwa Bei ya Mafuta ivi karibuni
Make Tanzania Great Again ina gharama zake!
 
Uwe unaweka na ushahidi kama hivi basi, la sivyo uzi wako ni propaganda tu

Rate ya leo ndio hiyo hapo, hiyo 2400 labda ni kwenye black market huko
Screenshot_20190123-132919.png
 
Back
Top Bottom