Dola moja 2400! Magufuli aondoke aachie ngazi hana faida kwa watanzania

Sijui niseme huyu baba ni profitless kwetu kiukweli
.
.
Dola 2400 halafu bado yupo ikulu???rais gani wa hovyo hivi??

Magufuli achia ngazi huna faida kwetu umeua nchi kwa mambo yako yasiyoeleweka yo should go out

Haya mliokua mnamshangilia huyu jpm mko wapi???hamtutaki hata buree hana faida kwa watanzania

Asipoachia madaraka itakua kosa kubwa sana sijui mungu tulikukosea nini????
Oneni dola ilivyopanda halafu mnamwita rais wa wanyonge!!!!!!!!!!!!!!

Sehemu nyingi za kubadilisha fedha wameanza kukata 2400 kwa dola moja kuna watu wanakimbilia google kuangalia mnaonunua mitandaoni na baadhi ya maduka na sites nyie ni mashahidi sehemu nyingi mno dola moja ni 2400

Strange yaani dola yako tu rais aachie madaraka? Kiwi cha macho.
 
Wasted sperms
 
Ningempigia kura huyu jamaa moyo ungeniuma sana ila nashukuru sikuwahi/sitakua sehemu ya mateso watanzania wanapitia.

Tume na polisi laana haitawaacha kwa hili.
 
Sijui niseme huyu baba ni profitless kwetu kiukweli
.
.
Dola 2400 halafu bado yupo ikulu???rais gani wa hovyo hivi??

Magufuli achia ngazi huna faida kwetu umeua nchi kwa mambo yako yasiyoeleweka yo should go out

Haya mliokua mnamshangilia huyu jpm mko wapi???hamtutaki hata buree hana faida kwa watanzania

Asipoachia madaraka itakua kosa kubwa sana sijui mungu tulikukosea nini????
Oneni dola ilivyopanda halafu mnamwita rais wa wanyonge!!!!!!!!!!!!!!

Sehemu nyingi za kubadilisha fedha wameanza kukata 2400 kwa dola moja kuna watu wanakimbilia google kuangalia mnaonunua mitandaoni na baadhi ya maduka na sites nyie ni mashahidi sehemu nyingi mno dola moja ni 2400
Asiondoke kwanza, mwache amalizie ile reli ya mwendo kasi na ahamie Dodoma
 
Watumishi fanyeni hujuma indirect dhidi ya serikali hii onevu kwenu ni miaka 3 hakuna ongezeko la mishahara na maslahi yenu yanazidi kukandamizwa.

Hiki unachofanya ni kinyume cha sheria, na ni matumizi mabaya ya mitandao ya kijamii hususani JAMIIFORUMS,
Unachofanya ni HUJUMA, UCHOCHEZI na pia KUPANGA NJAMA
Vyote hivyo ni kinyume na adhabu zake zipo kwenye sheria zetu.
Sidhani kama JAMIIFORUMS inakubaliani Na hiki ulichokifanya, sidhani kama ni njia nzuri za KUHUJUMU taifa lako mwenyewe kwa sababu ziwazo zote.
Mimi binafsi sikuungi mkono maana watoto wetu wanafundishwa na watumishi wa serikali, mahospitalini tunahudumiwa na watumishi wa serikali, kodi tunakadiriwa na watumishi wa serikali pamoja na mengine mengi......
Sijafurahia ....
 
Msimamo wa trh 4 huo hapo

Kununua dola ni 2320
20181204_155642.jpeg
 
Sidhan hata kama una hizo Dollar. Sasa ukiulizwa swali kuhusu na maada yako na kuhusu magufuri kuachia ngazi unaweza kidgo kufafanua au ndio wale wazee wa #kaziNAbata?????
Una mindset ya "passport ya nini"
 
Sijui niseme huyu baba ni profitless kwetu kiukweli
.
.
Dola 2400 halafu bado yupo ikulu???rais gani wa hovyo hivi??

Magufuli achia ngazi huna faida kwetu umeua nchi kwa mambo yako yasiyoeleweka yo should go out

Haya mliokua mnamshangilia huyu jpm mko wapi???hamtutaki hata buree hana faida kwa watanzania

Asipoachia madaraka itakua kosa kubwa sana sijui mungu tulikukosea nini????
Oneni dola ilivyopanda halafu mnamwita rais wa wanyonge!!!!!!!!!!!!!!

Sehemu nyingi za kubadilisha fedha wameanza kukata 2400 kwa dola moja kuna watu wanakimbilia google kuangalia mnaonunua mitandaoni na baadhi ya maduka na sites nyie ni mashahidi sehemu nyingi mno dola moja ni 2400
Hebu acha chuki binafsi wewe kua muungwana

Yule aliyepandisha dola kutoka 1000 hadi 2000 hujamuona?

Dolali imeongezeka kwa shilingi mia mbili na kidogo toka kuingua madarakani JPM sawa na asilimia 2.1 6
 
Kimsingi hali ya uchumi haijakaa sawa, tunaambiwa uchumi unakua kwenye figure lakini kwenye uhalisia hali ni mbovu.
 
Back
Top Bottom