Dola moja 2400! Magufuli aondoke aachie ngazi hana faida kwa watanzania

Sijui niseme huyu baba ni profitless kwetu kiukweli
.
.
Dola 2400 halafu bado yupo ikulu???rais gani wa hovyo hivi??

Magufuli achia ngazi huna faida kwetu umeua nchi kwa mambo yako yasiyoeleweka yo should go out

Haya mliokua mnamshangilia huyu jpm mko wapi???hamtutaki hata buree hana faida kwa watanzania

Asipoachia madaraka itakua kosa kubwa sana sijui mungu tulikukosea nini????
Oneni dola ilivyopanda halafu mnamwita rais wa wanyonge!!!!!!!!!!!!!!

Sehemu nyingi za kubadilisha fedha wameanza kukata 2400 kwa dola moja kuna watu wanakimbilia google kuangalia mnaonunua mitandaoni na baadhi ya maduka na sites nyie ni mashahidi sehemu nyingi mno dola moja ni 2400
Black market imerudi kwa kasi sana hii itakua kama sakata la sukari
 
Mahaba yako ya Iran umeyaamishia huku?
Tulia dawa ikuingie nasemaje mtalia sana Magufuli yupo mpaka 2025.
Hutaki nenda Iran.
 
Ningekuwa MAgu!! ningetafuta wakongwe wa chama changu !! nikawaomba ramani na nipite wapi!! Unapotukana Kanisa na Unapopotezea Kanisa !!!!! Kanisa lina kuOOna kama Mdebwedo😂😂😂😀😀😀
 
Watumishi fanyeni hujuma indirect dhidi ya serikali hii onevu kwenu ni miaka 3 hakuna ongezeko la mishahara na maslahi yenu yanazidi kukandamizwa.
Acha ukenge na ufala , si ufanye wewe hizo hujuma?
Wskifanya hizo hujuma utafaidika vipi?
 
Watumishi fanyeni hujuma indirect dhidi ya serikali hii onevu kwenu ni miaka 3 hakuna ongezeko la mishahara na maslahi yenu yanazidi kukandamizwa.
We jamaa unazingua aisee sabotage yoyote kwa serikali ni kosa upinzani hauko hivi wewe unachochea uhalifu dhidi ya serikali big nooo
 
Kwa hyo dola ndio inaendesha au kupima uchumi wa nchi tulia andika vzuri sio kukurupuka tu
Jinga kweli wewe,bila dola hakuna uchumi kwa nchi yoyote Duniani,waulize Russia,Turkey na China watakuambia ije kuwa Tanzania dampo la China? Sh inatumika wapi hapa duniani zaidi ya kwenu tu?
Unajua nini wewe kuhusu uchumi?

Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app
 
Kupanda kwa dollars against Tsh kunawezwa fanywa makusudi kupunguza ushawishi wa imports ili kubalance Balance of Trade
 
Tatizo Serikali hawana tabia ya kutoa taarifa sahihi za uchumi.... Last week nilinunua dollar 1 kwa tshs 2365 KCB BANK Arusha....wakati bei ya kuwauzia wao ilikuwa 2290
Wakati ukienda Google maelezo ni tofauti kabisa....
 
Dola inatuhusu nini? Ungesema bei ya dona imepanda ningekuelewa
 
Sijui niseme huyu baba ni profitless kwetu kiukweli
.
.
Dola 2400 halafu bado yupo ikulu???rais gani wa hovyo hivi??

Magufuli achia ngazi huna faida kwetu umeua nchi kwa mambo yako yasiyoeleweka yo should go out

Haya mliokua mnamshangilia huyu jpm mko wapi???hamtutaki hata buree hana faida kwa watanzania

Asipoachia madaraka itakua kosa kubwa sana sijui mungu tulikukosea nini????
Oneni dola ilivyopanda halafu mnamwita rais wa wanyonge!!!!!!!!!!!!!!

Sehemu nyingi za kubadilisha fedha wameanza kukata 2400 kwa dola moja kuna watu wanakimbilia google kuangalia mnaonunua mitandaoni na baadhi ya maduka na sites nyie ni mashahidi sehemu nyingi mno dola moja ni 2400
....
....mmamae watajua kitu M4C nini
 
Back
Top Bottom