Dola kwa bei rahis nitapa wapi wadau wa dar? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dola kwa bei rahis nitapa wapi wadau wa dar?

Discussion in 'Kilimo, Ufugaji na Uvuvi' started by Kibanga Ampiga Mkoloni, May 7, 2012.

 1. Kibanga Ampiga Mkoloni

  Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member

  #1
  May 7, 2012
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 14,565
  Likes Received: 1,654
  Trophy Points: 280
  Wadau nina 10Mil nataka kuibadili iwe dola, Je nitapata wapi kwa exchange nzuri hapa dar?
   
 2. rmashauri

  rmashauri JF-Expert Member

  #2
  May 7, 2012
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 3,008
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Mkuu,
  Ingia mtaa wa Samora fanya window shopping kwanza kuanzia hapa jengo la IPS (kabla ya Askari Monument) karibu na Mansoor daya pharmacy kisha elekea kwa juu kama unakwenda clock tower kuna Bureau de change za kwamwaga huko utaona inayouza kwa bei ndogo kisha uza shilingi zako.
   
 3. Buswelu

  Buswelu JF-Expert Member

  #3
  May 7, 2012
  Joined: Aug 16, 2007
  Messages: 1,989
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Nenda Airport.
   
 4. Mwana Mtoka Pabaya

  Mwana Mtoka Pabaya JF-Expert Member

  #4
  May 7, 2012
  Joined: Apr 22, 2012
  Messages: 11,746
  Likes Received: 8,007
  Trophy Points: 280
  Nenda kwa matapeli pale picha ya askari. Lakini kumbuka kuwa ushauri wangu haunifungi mahakamani. Wewe si unataka vitu vya bei chee?
   
 5. Sita Sita

  Sita Sita JF-Expert Member

  #5
  May 7, 2012
  Joined: Aug 25, 2008
  Messages: 1,196
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  nenda kariakoo tafuta wasomali
   
 6. munisijo

  munisijo JF-Expert Member

  #6
  May 7, 2012
  Joined: Apr 10, 2012
  Messages: 869
  Likes Received: 177
  Trophy Points: 60
  Kama una akaunti na NMB tembelea tawi lolote, u can either request for special rate....linganisha na sehem nyngne then make decision!
   
 7. SUPERUSER

  SUPERUSER JF-Expert Member

  #7
  May 8, 2012
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 959
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 45
  May I ask..ivi inaezekana kununua foward contracts Za foreign exchange kwenye bank zetu ?..n what. are the requirements?
   
Loading...