Dola 1000+ kwa siku! INAWEZEKANA, wewe pia waweza ingiza hizo au zaidi. HOW?

Nxt Millionaire

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
406
89
Kunradhi kwa wale ambao niliwakwaza kwa kuwaambia kuwa hapa bongo mtu aweza ingiza hadi dola 36,000/- kwa mwezi, naomba radhi kwa sababu wapo walo kwazika wakidhani ni NDOTO tu na kwamba HAIWEZEKANI hapo Bongo, nawaomba radhi kwani wengine yawezekana kabisa kuwa ni majerui wa wale mapopo kama wanavyowaita ama washaona mtu alojeruiwa nao, poleni nyoote.


Mimi huwa naamini HAKUNA LISILOWEZEKANA, naamini ukiwa na RIGHT MINDSET na NDOTO (VISSION) za kile ukitakacho au unapotaka kwenda basi njia itatafutwa na itapatikana na utafikia NDOTO (VISSION) zako.


Wapo niliowatumia mwaliko kuhudhuria presentations za fursa hii ambao walionesha NIA ya kusaka NJIA ya kutengeneza kipato cha ziada kwa biashara ya mtandao, walioamini kwamba INAWEZEKANA, nitapata feed back zao.

Kutengeza pesa ata zaidi ya hizi ukiwa sitting room yako INAWEZEKANA iwapo unaamini HAKUNA LISILOWEZEKANA basi BOFYA hapa upate maelekezo zaidi.

Lakini iwapo kwako hii ni ndoto isiyowezekana basi nakutakia GOOD LUCKY or pengine ni GOOD LACK!

Next Billionaire.
 
OK. Three Very Serious Questions first then, I may be Convinced. Hell! I wudn't mind a 500 Milions Tshs in my pocket per Year. Here we Go:

1. Have YOU tried It?
2. Are YOU a Millionaire?
3. How much do I have to Pay for the Mafunzo?
 
Kama ni watu mnaojiamini, na mnachofanya kimenyooka, inakuwaje kwenye hiyo link uliyoweka hapo juu, hakuna habari yoyote ile inayowahusu, ie physical address, namba za simu, website .
hakuna maelezo yoyote yale nyie ni nani except kuendelea kuwaalika watu waweke their personal info bila hata kujua zinaenda kwa nani!
Conclusion: Hamjiamini, na mnalofanya sidhani kama limenyooka.
 
Hawa sio kina forever living/GNLD maana huwa wanaongea lugha kama hizi. Ni wazuri sana kwa kuhamasisha mtu ajiunge na kutengeneza mtandao. I hope so
 
OK. Three Very Serious Questions first then, I may be Convinced. Hell! I wudn't mind a 500 Milions Tshs in my pocket per Year. Here we Go:

1. Have YOU tried It?
2. Are YOU a Millionaire?
3. How much do I have to Pay for the Mafunzo?

Answers
1. Yes, I'm doing it.
2. I'm on the right track to be there. The big question is not where you are now, but where you want to be.
3. maelekezo yote utayapata iwapo una nia kweli, tumeweka hivyo kwa makusudi kwa sababu si wote wako tayari ama wanapenda kuondokana na hali waliyonayo ama hawaamini kuwa inawezekana, wamekata tamaa ata uwaamshe vipi hawaaamki kamwe.
 
Watanzania wengi wangali na fikra za HAIWEZEKANI, hakika neno hili limetokana na neno la kizungu "IMPOSSIBLE" ambalo wengi WALIOAMUA kufanikiwa ama kufaulu kimaisha, kibiashara au popote WALIAMUA kulisoma vinginevyo yaani I'M POSSIBLE.

Pengine inabidi tumsome Jessica Cox alikuwa na kila sababu ya kuwa ombaomba lakini alikataa, soma link yake utajua yote.

Mimi na wewe MUNGU katujalia kila kitu twawezaje kukumbatia hii HAIWEZEKANI?

Nashindwa kuelewa, Napaleoni Hill anasema "Think and Grow Rich" na si Do this or act that way and grow, kifupi ni kuwa yabidi kubadilika kifikra, matokeo ya matendo yetu yanategemea kiasi kikubwa ni nini tunawaza.

So my fellow TANZANIANS Lets change the way we think of ourselves, tuikatae kila wazo hasi na tukumbatie WAZO CHANYA.

G DAY.
 
nashawishika kuamini unapafahamu lagos!

Watanzania wengi uwa wanapenda kuona dili ya hela kwa macho ya nyama, this is very wrong, why? such kind of money is deceiving, its like DECI and those mapopos, waliwapata kwa sababu walitanguliza pesa mbele tena nyiingi watu hawakupata taabu ya kujiuliza pesa hizi zatoka wapi waliingia kichwa kichwa matokeo! sote twayajua.

We have to train our brain to see the deal that will generate money and not by naked eyes, here is the chance for you guys or whoever is willing to come and listen to the opportunities na kufanya maamuzi binafsi ama ajaribu au la, maamuzi ni yako mwenyewe.


"Mauti na uzima huwa katika uweza wa ulimi, nao waupendao watakula matunda yake". Mithali 18:21

Ikiwa Mungu asema hivyo je Umasikini na utajiri huu katika uweza wa nini? I wish some one could answer this.

Siku Njema.
 
Hata masangoma wanasema wanauwezo wa kukufanya milionea....while hawana hata senti mfukoni.....namaanisha wao wenyewe hawana uwezo wa kujipa hayo mamilion....ACHA USANIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII:eek::embarrassed:
 
Hata masangoma wanasema wanauwezo wa kukufanya milionea....while hawana hata senti mfukoni.....namaanisha wao wenyewe hawana uwezo wa kujipa hayo mamilion....ACHA USANIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII:eek::embarrassed:

Si mimi nikupaye, bali ni weye mwenyewe kwa mbinu utakazo jifunza, ikiwa watarajia kuna mtu atakuja akupe mamilioni hivi hivi ndugu yangu utasubiri saaaana, nadhani hiyo mithali 18:21 yajieleza nawe umechagua fungu lako hapo.

Haishagangazi kuoana watu wanaishi katika Information Age lakini wana mawazo ya Industrial Age hata kama kila siku wanatumia ICT tools katika kazi zao za kila siku, ukweli ni kwamba wanatumia kasehemu kadogo mno ka fursa zitokanazi na ICT, kibaya zaidi hawataki kujifunza.

Kila la kheri ndugu yangu.
 
Hata masangoma wanasema wanauwezo wa kukufanya milionea....while hawana hata senti mfukoni.....namaanisha wao wenyewe hawana uwezo wa kujipa hayo mamilion....ACHA USANIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII:eek::embarrassed:

Ndugu yangu YU umenikumbusha mtu mmoja anaitwa Yusufu katika kitabu cha Mwanzo ndugu zake walimwita Bwana Ndoto, unajua kwanini?
well kama umesahau nitakukumbusha, ukweli ni kwamba si yeye peke yake aliyekuwa akiota ndoto, la asha lakini ni yeye aliyekuwa na kiherehere cha kuwaambia nduguze na baba yao ndoto zake.

Nduguze walimchukia, lakini chuki zao ndizo zilikuwa zikipelekea ndoto zake kutimia, yaliyofata baada ya hapo weye wajua kama ni msomaji wa baibo, wakti mwingine ni vyema ukaeleza watu ndoto zako, wakikuchukia, wakielewa, wasipokuelewa sio tatizo na wala si juu yako yupo atakaye kuonesha njia ya kufanya ndoto hizo kuwa kweli, yangu mojawapo ni kuwa na 8 figures income in US$ by 2015, kwani niliomba njia na BWANA akanipta si njia tu bali BARABARA kufikia ndoto zangu.

Kwani nimechagua "Kufanya kazi pale nitakapo, kwa namna nitakavyo na mtu nimtakaye -"You work when you want, how you want, and with whom you want"-, ndio NIMECHANGUA, yeyote aweza kuchagua, usemapo huyu ni msanii, its none of my business, I'm making not just Dollars but the good one. I think you need to read this articles by Paul Zane Plizer
 
Back
Top Bottom