yutong
JF-Expert Member
- Apr 15, 2011
- 1,601
- 338
Jamani hebu mnijuze nimesikia leo kuwa sasa dola moja ya kimarekani ni sawa na sh 1630 ya kitanzania, je hii ni kweli? kama ni kweli basi watanzania tutajuta na CCM hii. Nadhani ni bora sasa wapumzike maana hata sasa wanachokifanya mimi sikielewi. Hebu niambieni hawa watu wanania njema kwa watz? Nazidi kuomba Mungu chama hiki kifilie mbaya maana kinazidi kuongeza mateso. They must follow ZANU ana KANU, with CCM nothing is possible.