Dokta slaa aweka historia mwembetogwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dokta slaa aweka historia mwembetogwa

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Negotiator, Oct 4, 2010.

 1. Negotiator

  Negotiator JF-Expert Member

  #1
  Oct 4, 2010
  Joined: Aug 9, 2010
  Messages: 303
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Hapa ni Mwembetogwa Iringa ambapo wazee wa hapa kwa kumbukumbu zao toka kuanza kwa mageuzi haijawahi kukusanyika umati mkubwa namna hii kwenye kampeni.

  Pamoja na CCM kuzomba watu kwa malori lakini hawajapata kufikia rekodi hii ya watanzania waliomiminika kusikiliza sauti ya ukombozi. Mkutano ulijawa na usikivu na hamasa kubwa ya mabadiliko.

  Shuhudieni wenyewe hapa


   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. h

  hagonga Senior Member

  #2
  Oct 4, 2010
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 141
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Thank you for this clip, mbona hamtuambii habari ya Dr huko mbeya?
   
 3. ELNIN0

  ELNIN0 JF-Expert Member

  #3
  Oct 4, 2010
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 3,771
  Likes Received: 221
  Trophy Points: 160
  asante mkubwa, lakini clip ina sauti hafifu sana.
   
 4. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #4
  Oct 4, 2010
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  View attachment 14672
   
 5. Negotiator

  Negotiator JF-Expert Member

  #5
  Oct 4, 2010
  Joined: Aug 9, 2010
  Messages: 303
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Pole mkuu unaweza kudownload halafu ukasikilizie kwenye subwoofer. That is all i could get
   
 6. QUALITY

  QUALITY JF-Expert Member

  #6
  Oct 4, 2010
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 854
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  dalili za mvua ni mawingu
   
Loading...