Dokta Mwakyembe na degree zake 4 hataki kuzoeleka na darasa la 7, akifa atazikwa na nani?

Umegeuza kauli ya mwakyembe kwa manufaa yako
Kauliza mtu wa darasa la saba,utamshauri nini mtu mwenye degree 4 kama yeye?
Chukulia tu mfano wewe na darasa lako la 7,halafu unabishana kuhusu sheria na Phd holder
Kwanza Roma ana degree 1,

Pili mwananchi yoyote anastahili kutoa maoni/kukosoa/kushangilia serikali bila kuzingatia kiwango cha elimu alichonacho.
 
yaani tangu mkewe atangulie mbele za haki huyu mzee imebaki ni aibu tupu
 
Attachments

  • IMG_20191117_054126.jpg
    IMG_20191117_054126.jpg
    44.1 KB · Views: 1
  • IMG_20191117_054046.jpg
    IMG_20191117_054046.jpg
    37.4 KB · Views: 1
Mnyakyusa kwenye ubora wake wa kujisifia na kumsifu mfalme ili aendelee kupata ugali wa kila Siku,mpumbavu kabisaaaa
 
Umegeuza kauli ya mwakyembe kwa manufaa yako
Kauliza mtu wa darasa la saba,utamshauri nini mtu mwenye degree 4 kama yeye?
Chukulia tu mfano wewe na darasa lako la 7,halafu unabishana kuhusu sheria na Phd holder
Wapi alitajwa jina lake?? Acheni uzwazwa wasomi njaa someni muelimike na mfute ujinga kwenye vichwa vyenu .
 
Umegeuza kauli ya mwakyembe kwa manufaa yako
Kauliza mtu wa darasa la saba,utamshauri nini mtu mwenye degree 4 kama yeye?
Chukulia tu mfano wewe na darasa lako la 7,halafu unabishana kuhusu sheria na Phd holder
Kwahyo huyu hata wapiga kura wake hawawezi kumwambia kitu mana asilimia kubwa hawana degree 4 kama yeye? Hizi ni dharau sana ndio mana wanasema uongozi ni busara sana, unatakiwa uwe makini kwa kila neno unalotamka unaongea na nani, wakati gani na kwa manufaa ya nani. Kuna maneno mengine ni ya kwenye vijiwe vyao na wasomi wenzke na sio kwenye media
 
Kwanza Roma ana degree 1,

Pili mwananchi yoyote anastahili kutoa maoni/kukosoa/kushangilia serikali bila kuzingatia kiwango cha elimu alichonacho.
Mzee hajitambui huyu, yan hata roma angekuwa hana degree hata moja, kiakili tu amemzidi kwa kiwango kikubwa kama msomi mwenyewe anakuwa na kauli za ajabu kama hizi.
 
Kumbe ana HIV jamaan hio elim kashindwa itumia asijikwae ***** sake"
 
Akili ni kile unachobaki nacho ,ukiondoa elimu uliyotunukiwa , hivyo kama iko hivyo piga hesabu.

Elimu yake iondoe , kilichobaki si umekiona just RELAX
 
Umegeuza kauli ya mwakyembe kwa manufaa yako
Kauliza mtu wa darasa la saba,utamshauri nini mtu mwenye degree 4 kama yeye?
Chukulia tu mfano wewe na darasa lako la 7,halafu unabishana kuhusu sheria na Phd holder
Hapana wewe ndiyo unafanya limitation kwa makusudi ili kumtetea. Alichomaanisha ni kwamba as long yeye ni Phd holder hapokei ushauri wowote siyo tu kwenye eneo lake la kielimu bali nyanja zote kutoka kwa darasa la saba
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom