Mkuu Sokomoko:
Nadhani kwa sisi wengine vigezo vilikuwa ni nini, umetuchanganya kidogo. Umeandika sana lakini naona unazungumzia pointi mbili tu kama msingi wa malalamiko yako. Yaani kukaa muda mrefu ndani ya chama na kushika nyadhifa ndani ya BAWACHA.
Hebu fanya uchambuzi mzuri kwa kuvitaja vigezo vyote vilivyotumika na jinsi huyo mama alivyoonewa katika kila kigezo na jinsi ambavyo hao waliochaguliwa walivyopendelewa kwa kutokukidhi hivyo vigezo. Do that research and then come up for discussion, otherwise "dont talk". maana wengine tutaona kuwa either una interest ambayo hujai-declare au unatafuta huruma ya kuchaguliwa kwa vigezo viwili tu.
Na hapa naomba nitoe angalizo kuwa ungeweza pia kutoa hoja ya kutokubaliana na vigezo vilivyotumika ili tujadiliane na tuione mantiki yako kwa lengo la kujenga CDM na mustakabali wa nchi yetu iliyofanywa masikini na mafisadi.