Dogo 'JANJA'!!!

james watson aliseme ubongo wa mtu mweusi uma uweza mdogo wa kufikir.
ila kikwete alibisha
 
Huu sio ujanja, haka kadogo ni kakuchapa sanaaaaaaa!!!!
kakikua katakuwa kapumbafu kulikooo!!
 
Huwezi kumpiga huyo dogo! Mwangalie anafuata instructions toka kushoto, which means aliambiwa kojoa hapo na (mtu mkubwa bila shaka). Kisha mbele yupo mwingine anapiga picha! Nadhani hapo wakula kichapo ni mpiga picha na mtoa maelekezo kwa kuwa hao bila shaka ni grown ups
Huu sio ujanja, haka kadogo ni kakuchapa sanaaaaaaa!!!!
kakikua katakuwa kapumbafu kulikooo!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom