Dogo Janja abwagwa rasmi,Jamii iwe karibu naye asije akafa

Kuamini Mungu na kuamini uchawi zote ni imani sawa tu kwa sababu zote ni imani za supernatural forces.

Mimisitaki kuamini, nataka kujua.

Nasoma equations za Paul Dirac za Quantum Physics, naangalia Schrodinger's Cat experiment, nangalia double slit experiment,naangalia habari za kuunganisha Einstein's Relativity na Quantum Physics.

That is far more interesting to me than any God or uchawi.
Tatizo lako bro kitu kimoja ambacho kwa asiyekujua ataogopa sana, you wanna talk about quantum physics? Let's talk about it
 
Ameshammaliza pesa zote nn!? Mana mwanamke kukuacha wakati bado una mapene ni ngumu
 
Sipadogo alipopata. Toto kama Uwoya kulala nae nakula 0713 ......... Sikuoata kudogo. Hongera Dogo
 
Muandishi mashuhuri wa vitabu vya historia wa Uingereza - huyu Behaviourist kanifanya mimi intellectual, sasa nishampeleka kwenye ubuyu namrudisha kwenye u intellectual- Paul Johnson, alihojiwa na kipindi kimoja cha BookTV C-Span Marekani.

Akawa anatoa maoni yake, kipindi hicho ndiyo Obama anakuwa Rais.

Akawaanaongelea usomi usomi, akaulizwa, utapenda Rais Obama awe msomi msomi atuondoe kwenye ujinga wa Bush?

Akasema hatapendelea, wasomi wasomi wakiendeleza usomi sana wanakuwa boring, halafu wanafanya mambo kwa vitabu sana mpaka wanaharibu.

Angependa kuona Obama anakuwa anachanganya werevu wa kisomi na werevu wa kimtaa mtaa.

Sasa rafiki yangu Behaviourist asishangae akinikuta najichanganya kutoka ma "logical non sequitur" kwenye philosophy of religion, mpaka stories ya ku destress za Dogo Janja.

Dogo Janja anaweza kujadiliwa in the highbrow prism of a post-modernist existential Shakespearean fool's tragicomic Romeo and Juliet analogy.
....*****
 

Similar Discussions

9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom