Tusker Bariiiidi
JF-Expert Member
- Jul 3, 2007
- 5,520
- 2,091
Enzi zetu Kulitokea Mashati yalioandikwa Juliana... Sema huyo Juliana naye ali-likoleza kwa kutwa Jina hilo.Ndo tunaitaga ivo huku kwetu usukuman. Kuna dada mmoja alikuwa anaitwa juliana alikuwaga mzur sana na alikuwaga anagawa sana kumbe bhana yule dada alikuwaga na ngoma tiar kwahiyo alikuwaga anafanya kugawa tu Bure. Sasa baada ya watu kuanza kuugua ndo wakawa wanaambiana bhana Nina Juliana . watu wakikuhis tu unangoma wanasema jamaa anajuliana kwahiyo kuanza hapo ukimwi ukawa unaitwa Juliana na yule mwenye ukimwi akawa anaambiwa anaumwa Juliana
Zipo had nyimbo za Juliana yaan ukimwi