Dogo Janja abwagwa rasmi,Jamii iwe karibu naye asije akafa

Bwana hakujua kama sio kila wa kike ni wa kuoa"
Hao wadada KANUMBA + DIAMOND ndio wanajua kuwala na kuwamwaga sio kumvisha pete.
Nawasihi vijana mnapoingia majiji makubwa muwe makini msitishwe na make up'.. Wezi tu hao.
 
Watu wa mikoani na ushamba wao na ulimbukeni wao kwa wanawake unaweza kuta huyu dogo akaja jifia kweli,, big up sana kwa wanaume wa Dar, wazee wa kimoja chali, wazee wa vibamia, wazee wa kuchapiwa/kumegewa lakini hata wakiachwa hawatetereki wanaingia mtaani na kung'oa kifaa kingine swafi kabisa...
 
Alipotea sana chalii inabidi atulize kichwa yeye bado mdogo ajipange upya atafute wa kuendana nae, ile ilikua ni aibu sana mama kama lile jamani!! hata ngoma zake nilkua sisikilizi nilijua zitakua za kishoga tu
 
Ila kafaidimo humu ndani wengi mnatamani mngepata kuonja radha ya uwoya na mmekosa kwahiyo mnaishia kurusha maneno mengi kwa dogo hata mm natamani lile tako angenipa hata usiku mmoja tuuu
sidhani, labda tu utamani kuungwa kwenye 'gridi' ya kilovolti 220
 
binamu "mimi na wewe hatuna shida " kaa chini kunywa maji yashuke kabisaaa " huku uki relux ...ule ulikuwa ni upepo mbaya tu " umepita " siwajua watumishu " tuna stress za kutoongezewa mishahara " ... basi ndio nikajikuta nazimalizia kwako " maana ningesema nizipeleke kwa Jiwe " korokoroni pangenihusu
Usijali binamu.
Kuliko nisikie uko korokoni,Bora tu umalizie hasira kwangu.
Mana vinginevyo na mi ntajikuta wameshanisoudy brown
 
Kitabu cha The God Delusion kimetoka nipo Marekani.

Mimi nilishazibuka tangu niko Tanzania, nimesoma "The Philosophy of Religion: An Anthology", kabla ya "The Selfish Gene".

Kwa taarifa tu
I LOOOOOVE IT WHEN YOU BRAGGING!!!
hahhahahhaha ni nyundo ya uso paaaaaaah!!
Huwa nachekaaaaa
 

Similar Discussions

9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom