dogo aliyeandika Bongo Fleva kwenye Mtihani Wa Form Four -live | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

dogo aliyeandika Bongo Fleva kwenye Mtihani Wa Form Four -live

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Smile, Jul 13, 2012.

 1. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #1
  Jul 13, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  Julius Dawson "ELINAJA" (23) mkazi wa Tabata, Segera, asili yao Marangu, Kilimanjaro, ni kijana ambaye aliandika mashairi ya nyimbo za "Bongo Fleva" kwenye mtihani wake wa kumaliza kidato cha nne mwaka 2011.

  Jana katika kipindi cha Power Breakfast "PB" cha redio CloudsFM alisema anashukuru sana kupewa nafasi ya kujieleza katika redio hiyo ili atoe sababu za msingi za ni kwa nini alifanya hivyo kwa kuwa jamii iliupokea ujumbe wake kama mzaha na kejeli, wakati yeye alikuwa akifikisha masaibu na machungu wanayoyapata watoto wenye vipaji lakini hawapewi fursa wala nafasi za kukuza vipaji vyao, badala yake wote wanaelekezwa kufuata mkondo mmoja hata ikiwa hawauwezi.

  Ameomba msamaha kwa jamii nzima kwa yeyote yule aliyekwaza kwa alichokifanya, lakini akasisitiza kuwa alifanya hivyo kwa kuwa alitaka kufikisha ujumbe ambao umekuwa ukipuuzwa na Wazazi, Walezi na jamii nzima, wa kuwasaidia watoto kukuza vipaji vyao ambavyo baadaye hugeuka kuwa ajira rasmi na njia kuu ya kipato cha kuendesha maisha.

  Bofya kitue cha pleya hapo umsikilize.

  Mwishoni wameuweka wimbo wake mmoja kati ya nyingi ambazo amekwisha kuziandaa, ila bado hajafanikiwa kupata fedha za kutosheleza kurezirekodi kwenye studio kwa ajaili ya kuziuza.
   
 2. Blaine

  Blaine JF-Expert Member

  #2
  Jul 13, 2012
  Joined: Jan 11, 2012
  Messages: 2,285
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Smile i don't see the link.
  on topic; everybody needs education and form4 is not too much to ask for, hata mastaa Europe/NA wamefika at least Form4.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 3. fazaa

  fazaa JF-Expert Member

  #3
  Jul 13, 2012
  Joined: May 20, 2009
  Messages: 2,986
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Smile mimi naona mapaja tu hapo, sioni kitu.
   
 4. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #4
  Jul 13, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  Nashindwa kuweka iyo link but si mnaelewa bwanaaa
   
 5. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #5
  Jul 13, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,747
  Likes Received: 12,839
  Trophy Points: 280
  Ngoja ni smile kwanza kabla sija sikiliza.
   
 6. Money Stunna

  Money Stunna JF-Expert Member

  #6
  Jul 13, 2012
  Joined: Aug 9, 2011
  Messages: 13,105
  Likes Received: 284
  Trophy Points: 160
  hili ni jukwaa la malove hizo habari peleka uko,utachafua hali ya ewa
   
 7. Mahmetkid

  Mahmetkid JF-Expert Member

  #7
  Jul 13, 2012
  Joined: Apr 20, 2012
  Messages: 557
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 45
  This is stupidity.
   
 8. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #8
  Jul 13, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Ata ajitetee je ni upuuzi na upumbavu tu aliofanya na iko siku ktk maisha yake atakuja kujuta kama haanza majuto sasa
   
 9. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #9
  Jul 13, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  acha hizo bhana,mbona unatoa mapovu kwenye jukwaa la mapenzi
   
Loading...