Does URT President receive DPB? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Does URT President receive DPB?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Rev. Kishoka, Feb 18, 2009.

 1. Rev. Kishoka

  Rev. Kishoka JF-Expert Member

  #1
  Feb 18, 2009
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 4,470
  Likes Received: 277
  Trophy Points: 180
  Just curious, what kind of Daily Presidential Briefing does Kikwete receive!

  Is it about Security (what are the dimensions of National Security? would cholera outbreak deem a National Security in TZ)? is it about Economy, is it about Political activities or it is just about who said what about the Government?
   
 2. Rev. Kishoka

  Rev. Kishoka JF-Expert Member

  #2
  Feb 19, 2009
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 4,470
  Likes Received: 277
  Trophy Points: 180
  Mlioko Ikulu mnaweza kunijibu?
   
 3. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #3
  Feb 19, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,408
  Trophy Points: 280
  Daily briefing for what? Apate...asipate...it don't make no damn difference..gotdmamnit!

  Do we even have a Ikulu press secretary? Do we even have daily Ikulu briefings? What would the press secretary even talk about? Nonsense?
   
 4. M

  Moelex23 JF-Expert Member

  #4
  Feb 19, 2009
  Joined: Oct 8, 2006
  Messages: 497
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Rev. Kishoka najua umeuliza kwa nia nzuri, lakini DPB ya nini wakati mkuu huyu ndio mwaka huu kakaa ikulu for at least 2 weeks in a row??

  Yaani yeye ni kurukia tu vitu kama sisi haendi kwa mipango::

  Ebu waulize watu wa IKULU ni area gani ambazo wanataka kuzitackle this yr ili kusaidia watanzania in concrete details na sio general stuff???

  Obama anadeal na Mortgage, Unemployment, infrastructure, financial stability, Auto sector, blah blah through bills and push everyday and we can all see, what is JK really tackling this 2009????

  Nada mazee, hamna haja ya DPB ni kusema mambo in general terms tu kama sisi huku JF
   
 5. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #5
  Feb 19, 2009
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,552
  Likes Received: 18,233
  Trophy Points: 280
  Rev. Kishoka, lazima Mkulu anapata kila aina ya daily briefing. Hiyo ndiyo maana ya utawala. Kama ilivyo kwa Jeshi la Polisi, JW na UWT, lazima wanamjulisha Mkulu kila kinachoendelea.
  Japo mi sio mtu wa Magogoni, ila pia najua Mkulu anapata PDB(Press Daily Briefing) toka timu yake chini ya Kurugenzi ya Mawasiliano ya I(M)kulu kwa kuelezwa kila kilichoandikwa kutoka magazeti yote serious kuhusiana na issues muhimu kwa taifa.
  Sambamba na hizo briefing ambazo zinaandamana na madokezo toka timu ya washauri wake wa kila fani wanaoshindia magazeti mezani mwao ndani ya kuta nyeupe.
  Pamoja na taratibu zote hizo za kiutawala, Mkulu mwenyewe ni jeuri, mbishi na hashauriki, akiamua, ameamua, hata ashauriwe vipi, ama apigiwe kelele vipi, ameweka pamba masikioni hivyo kelele zote kuishia kuwa ni za mlango, hazimkoseshi usingizi.
   
 6. kimatire

  kimatire JF-Expert Member

  #6
  Feb 19, 2009
  Joined: Nov 27, 2008
  Messages: 365
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  The President's Daily Brief (PDB), sometimes incorrectly referred to as the President's Daily Briefing or the President's Daily Bulletin, is a top-secret document produced each morning for the President. Responsibility for producing the PDB — which was traditionally held by the director of the Intelligence Agency — was transferred to the State House secretary. The PDB is intended to provide the president with new national intelligence warranting attention and analysis of sensitive national situations.
   
 7. B

  Bulesi JF-Expert Member

  #7
  Feb 19, 2009
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 6,447
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 180
  Nadhani katika hizo briefings ni lazima kuna sehemu ya wanaCCM walioaga dunia; kwani muungwana hakosi kwenye mazishi ya wanaCCM wenzie!!
   
 8. S

  Silas A.K JF-Expert Member

  #8
  Feb 19, 2009
  Joined: Apr 23, 2008
  Messages: 807
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Nimeipenda hii ya kupata briefing za misiba! lakini hii nafikiri anapata kwa sms kwenye simu yake ya kiganjani si aliitoa namba yake kwa public!

  Nakubaliana na mkuu Pasco kwamba inawezekana kabisa mkulu akawa hashauriki au ameweka mazingira yanoyafanya wasaidizi wake washindwe kumpa ushauri katika baadhi ya mambo.Wanamwimbia nyimbo zile tu anazopenda kuimbiwa basi.
   
 9. Rev. Kishoka

  Rev. Kishoka JF-Expert Member

  #9
  Feb 19, 2009
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 4,470
  Likes Received: 277
  Trophy Points: 180
  On a serious note, what does he the President of URT do after the briefing to address critical issues?

  Let's say at that time when we had Simba mla watu wa Rufiji and later Tunduma, what did the President do to address the issue if he saw new name every other day of mshikaki wa Simba?

  Or the Albino saga, if the DPB or PDB has list stating Zeruzeru au wachunwa ngozi Mbeya wanaangamia, what directive does he issue to Waziri Mkuu, Waziri wa Mambo ya ndani au Polisi?

  If it is Uchumi may be BOT and hazina are claiming Inflation and external debt is soaring, how does he address the issues?
   
  Last edited: Feb 20, 2009
 10. M

  MzalendoHalisi JF-Expert Member

  #10
  Feb 19, 2009
  Joined: Jun 24, 2007
  Messages: 3,867
  Likes Received: 115
  Trophy Points: 160
  30 days nadhani only 5 anakuwepo Magogoni!

  Si aliitwa Vasco Da Gama? Kama hayupo US basi yupo Mikoani au ktk misiba!
   
  Last edited: Feb 20, 2009
 11. Icadon

  Icadon JF-Expert Member

  #11
  Feb 20, 2009
  Joined: Mar 21, 2007
  Messages: 3,589
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 0
  Kuna mtu anamjua National Security Advisor wa JK?
   
 12. Rev. Kishoka

  Rev. Kishoka JF-Expert Member

  #12
  Feb 20, 2009
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 4,470
  Likes Received: 277
  Trophy Points: 180
  Icadon,

  Si alikuwa Kingunge Ngombare Mwiru?
   
 13. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #13
  Feb 20, 2009
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,360
  Likes Received: 6,377
  Trophy Points: 280
  Do we have any National Security issue/s to warrant an advisor?
   
 14. Icadon

  Icadon JF-Expert Member

  #14
  Feb 20, 2009
  Joined: Mar 21, 2007
  Messages: 3,589
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 0
  Tell me you are joking, I thought Kingunge alikuwa mshauri wa siasa.
  Yes, we do, IMHO
   
 15. Kuhani

  Kuhani JF-Expert Member

  #15
  Feb 20, 2009
  Joined: Apr 2, 2008
  Messages: 2,945
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Anaitwa Rashid Othman.

  Sisi hatufati utaratibu wa ki-Marekani.

  Hatuna bugdet ya ku dublicate vyeo mia mia!

  Na hata hao Wamarekani walipopenyezwa na maadui wa kigaidi walisema moja ya tatizo ni kuwa na vyombo vya usalama lukuki, halafu vinakuwa hata havi coordinate, haviongei. Wakavi consolidate vyote chini ya Director of National Intelligence. Kwa ka inchi ketu kadogo, Director wa TISS ndio huyo anashauri usalama wa Taifa.

  Sasa tusije kuiga kunya kwa tembo.

  Hey guys, tunahitaji Ben Bernanke wetu, au?
   
 16. Icadon

  Icadon JF-Expert Member

  #16
  Feb 20, 2009
  Joined: Mar 21, 2007
  Messages: 3,589
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 0
  Hiki cheo kilishawahi kushikiliwa na Membe katika awamu ya Nyerere na ya Mwinyi.
   
Loading...