Does this man have a point???

Rwabugiri

JF-Expert Member
Jul 10, 2007
2,776
1,195
Kwanza kanizidisha hasira tu, yaani nimejuta kwanini nime msikiliza, limumewe jizi la kura yeye mbabe sasa ikulu gani hiyo??
 

mstahiki

JF-Expert Member
Jul 14, 2007
308
0
Rwabugiri & kithuku,

Inaonekana hawa wote waliopigwa na first lady walikuwa wanamprovoke.
 

Pundit

JF-Expert Member
Feb 4, 2007
3,738
1,225
It is possible that she was provoked, but the height of civility is how you react when provoked.She demonstrated a lack of self restraint.
 

Shakazulu

JF-Expert Member
Feb 23, 2007
956
500
Rwabugiri & kithuku,

Inaonekana hawa wote waliopigwa na first lady walikuwa wanamprovoke.

What a daft argument. Hivi watu wote wanaoukuwa provoked wangereact hivi mambo yangekuwaje? or is this the way you normally react to provocations?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom