Does this [Interview] give answers on our mining contracts??

Interested Observer

JF-Expert Member
Mar 27, 2006
2,657
3,035
Does this Interview answer questions on royalities, taxes etc etc in our mining industry? Is our source of information doubtful? Why media reporters like in IPPmedia, Majira etc can not go direct and have some concrete information from brilliants like these?
=====================

Sunday Interview Mwanyika, shining star at Barrick
Staff Writer SHERMARX NGAHEMERA
Sunday News; Sunday,July 23, 2006 @00:02


BARRICK Gold Corporation, the Toronto-based multinational mining conglomerate, declared established of African Regional Business Unit (ARBU) end of 2005, to oversee mining operations in South Africa and Tanzania. Mr Deodatus Mwanyika, a 44-year-old Tanzanian was appointed Executive General Manager of Barrick Gold Tanzania in April, this year. He is responsible for Corporate and Legal Affairs for all Barrick operations in Tanzania. In this capacity he also covers exploration activities in Tanzania and West Africa.

QUESTION: Your appointment to the most senior post with Barrick Tanzania has generated a lot of interest. How do you take up the challenge?
Answer: I see it as challenge but not a new one. I have got enough experience to handle such a big post. I have been around and abound from early 1989 started as State Attorney trainee with Attorney General Chambers and at the end of that year in October to be precise, I joined the National Development Corporation (NDC) as a Group Legal Counsel. I worked in the fields of corporate and commercial law which also encompasses project financing. In 1992 I joined the Presidential Parastatal Sector Reform Commission (PSRC) as a Legal Consultant and rose to the highest legal position of Principal Legal Counsel and Secretary to the Commission. In this statutory position I was the Chief Advisor for all legal matters affecting the Commission in discharging its privatisation and parastatal reform functions.
I worked extensively in corporate set-ups, corporate restructuring, receiverships, liquidations, conveyance, labour employment, legislative reforms and privatisation in general. I was also instrumental in collaboration with various local and foreign consultants in early stages in designing and setting up of regulatory bodies in the telecommunications and water sectors. In 1999, I was one of the founding partners of IMMMA Advocates, one of the premier law firm in the country.
However, I briefly worked with the law dedicating my services to the budding mining industry and later I joined Kahama Mining Corporation Limited a subsidiary of Barrick Gold Corporation of Ontario Toronto in Canada. I was part of the team of legal counsel that was tasked to advise on various corporate, financial and mining issues on the 280-million-US-dollar mining project. In November 2000, I joined Kahama Mining Corporation Limited as a full-time Senior Legal Counsel assisting the Vice-President, Legal and Government Affairs who was expatriate.
I have been instrumental in getting off the ground all the Barrick investments in Tanzania starting with Bulyanhulu Gold Mine and later Tulawaka Gold Mine. In 2004 following reorganisation of Barrick business worldwide, Tanzania became part of the Australia Regional Business Unit. Following this, I was appointed General Manager, Legal and Regulatory for Tanzania. So, I have passed through many ranks with Barrick group since start of the operations in Tanzania.
So you see I have worked with Barrick since 1990 in many capacities at senior levels.
Q: What is your vision for mining industry in Tanzania?
A: I expect to see and administer a robust mining industry transferring the multiplier effects to the entire economy, offering employment and establishing business opportunities and linkages to other sectors of Tanzanians economy in a sustainable way. Ultimately contributing considerably to the budget of this country. In short I am eager to see a growing, integrated and prosperous mining industry benefiting the country, the people of Tanzania and Barrick shareholders as well.
Q: How are you going to tackle the negative attitude of the public on mining?
A: It is appropriate to say that the problem of negative publicity stems from the fact of lack of proper information and knowledge on the large scale mining industry in the country. There is also lack of corporate governance culture which is a result of many years of state controlled and socialist mind set. The effect is that there is a lot of suspicion with investors. Also, unorganised business movement, unsupportive financial institutions and the blanket fear of the unknown are also contributing to the image.
Precious metal mining of the scale under Barrick is long-term investment, capital intensive and multinational corporate undertaking. The money invested is huge and its recovery also takes time to realise. In short mining is a long term investment which also takes long time to start making profit. Barrick has been in operation only five years ago and that is very little time in any project cycle and delivery. A vibrant industry cannot develop in a decade. In South Africa, the industry has developed the country but that did not take 10 years but over 100 years. The country policies and laws must allow for capital pay back hence the need for fiscal stability. With long-terms investment and magnitude of the capital required in mining, a slight possibility that the regime is unstable and unpredictable will make Tanzania a non-mining destination worldwide.
However, it does not mean that the operations are not benefiting the people as they grow. We pay other taxes, wage bill to nationals, the royalty, employment benefit, social pension funds contribution, infrastructure upgrading, provide local goods purchases and many other payments to the economy including levy to the districts where we operate for development activities.
On the corporate culture, the public still believes that foreign companies are here to cheat and make huge profit. This has led to a notion that all foreign companies apply bad tricks such as tax evasion so as to survive in its business. The public needs to know that a company like Barrick does not need to cheat in any of its operations. This is a multinational company operatings 26 mines across the world.
It should also be noted that Barrick is a listed company in various exchanges around the world. The level of transparency and governance leaves no room for the perceived manueuvres. Its executives including myself are subjected to very stringent disclosure obligations and high standard of professionalism. Internal controls designed to detect fraud and irregularities are part of the business requirement and we get audited independently, on top of the usual financial annual audit. In short, not a single big company within our group would cheat so as to gain a benefit because it has a very negative impact on the business.
Q: I am asking this question because the public has been made to believe that a lot of gold is being smuggled out of the country using aeroplanes. How can you talk about this?
A: It is also not true. How can you smuggle gold out of the country? Firstly, we are not in that business. Secondly, there are so many government organs to check on what goes on. The Tanzania Civil Aviation Authority (TCAA) licences all planes and has a way to monitor and audit their operations. Not a single aeroplane can come at our site without the knowledge of TCAA or fly from our site without going through customs clearance at a port of exit. All operators are obliged to file report on their operations every month. The Tanzania Revenue Authority (TRA) and Resident Mines officer also oversee operations from export process side. They issue permits and seal containers after inspection. In addition, the Commissioner for Minerals must receive our reports on the amount of gold which has been processed and exported. Same information has to be submitted to the Bank of Tanzania every month.
So, saying that gold is being smuggled out of the country is a big lie. A company of Barrick status would never apply bad tricks in its operations in Tanzania or any part of the world. Mind you, total production of gold from Tanzanian operations is a small percentage of Barrick's total ounces of gold produced every year in all other mines. To Barrick, reputation is a very valuable asset because once the public loses trust and confidence, the existence of the company itself is threatened.
Q: There have been also claims that mining companies source almost everything including tomatoes from abroad. Is it true?
A: Ignorance of facts is a very big problem and this allegation is one of them. The figures we have indicate that at least 55 per cent of all our procurement is done locally. However, some of the things procured locally could have been imported by local businessmen. For instance, fuel and lubes. In the case of our mine in Tulawaka, procurement on local goods and services show that last year we spent locally 18 million US dollars (about 18bn/-) out of the 20 million dollars spent on total purchases. The mine could have spent the entire 20 million US dollars on local services and purchases if all requirements were available here. This represents 90 per cent of the local purchases compared to just 10 per cent of the foreign purchases. Bulyanhulu in 2005 spent almost 40 million dollars on local procurement.
It must also be understood that mining companies have very strict guidelines on any purchase, be it local or from abroad given their remote location and the need to balance inventory and keep the mine operating 24 hours. First, we need good quality. Second, the quantity must also be good. And third, timely delivery is also a condition. Now, the challenge we face is meeting the expectations. Many local companies or individuals have problems in meeting the challenge on quality and quantity. For example: Our mine at Bulyanhulu offered a local company to supply fresh milk daily. The supplier failed to sustain the business because he could not deliver milk of the quality we wanted. Cheating was discovered as he tried to maximise profit at the expense of quality. This was a big set back.
What is lacking is that other sectors of the economy should take advantage of the mining operations in Tanzania. Our people in business should take advantage of all business opportunities. For example: If someone could start a big and modern poultry farm in the Lake Zone complying with high standard available elsewhere I see no reason why mines will not place all order with him/her.
In short, we are very happy when we get our purchases locally than importing.
My advice to the local businessmen and women: They have to be systematic and improve entrepreneurship and cultivate trust. We are forced to import goods after establishing that the commodities are also from abroad. So, why go to a supermarket in town while we could make our own orders from there?
Q: How about other sectors like the Tanzania Railways Corporation (TRC) and the local transport companies? Have you given them good business?
A: Yes. Transport sector has benefited from mine operations and will continue to benefit more because it is a crucial sector to our operation. For instance, in 2005, Bulyanhulu spend almost 1.63 million dollars on rail haulage while clearing/ forwarding and road transportation we spend almost 5 million dollars.
Q: It's an open secret that the mining industry has revamped some of the companies, which were in financial problems, some of them almost dead.
A: Yes. Bulyanhulu operations have benefited infrastructure companies e.g. TRC by hiring wagons to transport copper concentrate, known by some as "sand" from the mine at Kahama to Tanga port. The port has also made good business with us because our imports pass through Tanga in addition to Dar port. If you ask the Tanga port manager today 'who is giving him good business', he will not hesitate to say it is the mining sector, Bulyanhulu in particular.
Q: How about taxes? These allegations that mining enjoy tax holidays?
A: If these allegations are seen in proper context, then you will realise that they are not justifiable. Mining companies do not enjoy tax holidays as claimed. All tax holidays were scrapped in Tanzania. Mining companies are not exempted from payment of corporate tax for that matter. Indeed, the sector has specific tax incentives which were put in place consciously in order to attract investments in the then dormant sector seen from large-scale operation. The over-ridding question was to make Tanzania a competitive destination. Unfortunately, if Tanzania wants large-scale mining, fiscal incentives will always have to be aligned within the global scale because investors in mining sectors are global players.
On the other hand, even with the current incentives, presence of large-scale mines in Tanzania have, in addition to multiplier effect said above, generated revenue to the government and its institution in terms of royalty, import duties, VAT for non-mining items, employment tax for all employees (local and exparts), pension fund. For instance, revenue to government from Bulyanhulu for 2005 amounted to US$30millon while from North Mara it was 11.0 million dollars. While these payments are being made, the mines are still making losses and the shareholders do not expect any return.
Q: What are specific problems faced by Barrick mining operations in Tanzania and what are the interventions?
A: Like most of the major mining companies, Barrick faces challenges in Tanzania. I would like to mention only a few: Because of the remote location, and undeveloped industrial base, (unlike countries like South Africa) we are forces to import all our major inputs i.e. supplies and equipment. The infrastructure is not very supportive of the mines. This is both for roads and railway line. We also need to transport our products via the port. To us a functional rail and transport system is crucial to making our operation efficient and hence more benefit to the country and the mining companies.
Secondly, reliability and quality of power from Tanesco at our Bulyanhulu plant has been a problem. This has had negative result in our production. Even with this problem of power, in 2005 Bulyanhulu mine paid to Tanesco 10 million dollars for power consumption. This means that with reliable and if quality issues are addressed, Tanesco will earn more from the mine. Our mine in North Mara and Tulawaka are not connected to the grid. This means we are spending more money at current prices to import fuel. The country would save substantial amount of foreign exchange if all mines were connected to the grid. There should be deliberate efforts to address power problems in the country. We understand from discussion with the government that this is now being addressed.
Q: Is there any Barrick future development plan on mining in Tanzania?
A: Yes, we are optimistic that the fiscal regime currently in place will not fundamentally change. This will enable further exploration and development of new projects in Tanzania. Geologically, it seems that Tanzania has not been fully explored and our policies and incentives should be aimed at getting more exploration dollars in Tanzania rather than letting them end in other continents.
Q: Is there any specific call to the public and Business community?
A: The public should refocus and reorient their economic activities towards the mining sector so that local purchases become a significant financial outlay of Barrick businesses in Tanzania. This will bring the required partnership for maximisation of the economic synergies. Only through improved linkages and financial benefits to the local economy could improve the wellbeing of the stakeholders of the mining industry. The business community should be aggressive towards dealing with the mining sector. Also, government policies should be geared towards encouraging and facilitating linkages to harness the business potentials available and provided by the mining companies. The business community can play a role in guiding and advising the governmgnt on this.
Q: How do you feel as a Tanzanian and at your age to manage a big company like this which has resources that are above all the Tanzanian banks' balance sheet put together?
A: I feel good and honoured to be of service to my company and to my country. This also defeats a notion that big mining companies are managed by foreigners. It's a challenge to my fellow Tanzanians to work hard so that we are trusted to lead not only sections or department within business but also big mining companies and projects as well. My case is a clear demonstration that Tanzanians can grow through the ranks to take high position and responsibilities in these global regional business. I would like to see more Tanzanians working hard and getting promoted. From what I know, Barrick has a program to localise expatriate position and would urge my fellow employees to work hard, learn fast from their colleagues

http://www.dailynews-tsn.com/page.php?id=2331
 
mahojiano ni mazuri,

Hii ndio vile tunasema maneno mengi, huyu bwana ni mwanasheria, na anajua kupanga maneno yake.

Pamoja na maelezo ya kuwa Barrick wameinvest pesa nyingi sana na eti kwamba realization ya faida BADO, kimahesabu na kisayansi gambling ya namna hii mfanyabiashara hawezi kufanya.

1.Wananchi tunataka mikataba iwe wazi kwa angalau kwa wawakilishi wetu (Wabunge)
2.Huyu Mwanyika anafikiri huu msemo wa "win win" umekujaje?
3.Hivi hajui ya kwamba kuundwa kwa tume kuangalia hii mikataba upya, ni kwa sababu za wazi kuwa wananchi hatuambulii kile tunachopaswa kuambulia?

Hizo figure za biashara ni very "petty", ni rahisi sana kutaja. Ilibidi aulizwe wameinvest ngapi, seriakli yetu imeinvest ngapi na faida tunagawana vipi.

IO,
Mahojiano hayajibu kwa undani kuhusu royalties, taxes etc etc, mambo mengi bado hayako wazi.
anyway, ni muelekeo mzuri wa uandishi
 
In summary, Mwanyika's main argument is that if we do not allow the mining companies to take our gold and pay us 3% of its value, then they will not take our gold, and therefore we must agree with them!

Another argument that was presented at BCSTIMES by a person with a similar outlook (Mgaya, if I remember correctly) was that we are not the only ones who are being paid royalty at the rate of only 3%.

I would rather we remained with our gold under us than have someone take it and pay us 3% of its value. As for Mgaya's argument, I wish to point out that two wrongs do not make a right. For example, it would have been ridiculous for us to argue, in the fifties, that we needed not seek independence because we were not the only colonized people.

In any case, I did counter Mgaya's argument at that time with an example of a gold mining operation in a third world country, where the local people receive more than 30% of the proceeds.

We should keep in mind that mining companies cause massive damage to the environment. A person who causes such damage and asks for tax incentives and the right to give you only 3% of the value of what he takes out of the ground must be proceeding from the assumption that you are an imbecile.

Finally, I wish to express my ardent hope that Mwanyika was not one of the Attorneys who advised the government to enter into agreement with the company he now works for. Mining companies, including the one that he works for, are robbing us blind, and I am mightily disappointed that he not only works for the robbers but he also wants us to be thankful for the robbery.

Augustine Moshi
 
JK achana na uhini wa Mkapa ili uwe SHUJAA WA TANZANIA!!

NINAONA UMEANZA KAZI SASA. ACHANA NA KUSEMA UTAENDELEZA YOTE YA NKAPA BALI SEMA MAZURI NA MABAYA UTAYATUPA CHOONI TENA CHOO NDEFU SANA!!

******************************
Kikwete afumua mikataba madini

Migodi kuanza kulipa kodi asilimia 30
Wakubwa wahoji Mkapa alishindwaje


Nasra Abdallah na Deodatus Balile


KAULI ya Rais wa Awamu ya Nne, Jakaya Kikwete, ya kutaka mikataba ya madini ipitiwe na kulipatia taifa faida zaidi, imetekelezwa.


Serikali imetekeleza kauli hiyo kwa kupitia na kurekebisha mikataba ya madini, ambayo chini ya uongozi wa Serikali ya Awamu ya Tatu ilikuwa ikitajwa kuwa haiwezekani kufumuliwa.


Mabadiliko makubwa yameanzia katika Kampuni ya Barrick Gold ya Canada, inayomiliki migodi ya Bulyanhulu, North Mara na Tulawaka, ambayo baada ya majadiliano na Rais Kikwete mwenyewe juzi, imekubali kutoa sh milioni 9,100 au dola milioni 7, kama kodi serikalini kwa mwaka.


Mbali na kiasi hicho, kila halmashauri ya wilaya ilipo migodi hiyo, itapatiwa sh milioni 260 sawa na dola 200,000 kwa mwaka.


“Nia ya serikali, kama ambavyo imekuwa ikielezwa mara kwa mara na Mheshimiwa Rais Jakaya Mrisho Kikwete, ni kuhakikisha kuwa nchi yetu (a) inanufaika ipasavyo na utajiri mkubwa wa madini, (b) inajenga mazingira endelevu ya uwekezaji, (c) inapata kodi ya 30% (corporate tax), (d) inapata maendeleo katika maeneo yanayochimbwa madini, na (e) inafaidika kwa kupata ajira na huduma mbalimbali zinazotokana na kuwepo kwa uchimbaji wa madini,” alisema Waziri wa Nishati na Madini, Dk. Ibrahim Msabaha.


Dk. Msabaha aliyeambatana na naibu wake, Laurence Marsha, alisema juzi viongozi wa Barrick walikutana na Rais Kikwete na kukubaliana naye mambo saba, ambayo ni:-


Kuondoa katika mikataba kipengele cha nyongeza ya kivutio cha asilimia 15 kwenye salio la gharama za uwekezaji (15% additional capital allowance on unredeemed capital expenditure) na kulipa kodi ya US $200,000 (sawa na sh milioni 260) kila mwaka katika halmashauri za wilaya zenye migodi ya Barrick.


Nyingine ni kulipa US $ milioni 7 (sawa na sh bilioni 9.1) kila mwaka kwa Serikali Kuu hadi kampuni itakapoanza kulipa kodi (corporate tax) na kununua bidhaa za ndani ya nchi kwa kadri zitakavyopatikana; kutumia kampuni za ndani ya nchi na wazalendo katika kutoa huduma mbalimbali katika migodi.


Pia walikubaliana kushirikiana na serikali katika kutatua matatizo ya muda mrefu ya wachimbaji wadogo wadogo na kutafuta njia za kutoa elimu endelevu ya ufundi kwa Watanzania ili waweze kushiriki ipasavyo katika soko la ajira na katika ujenzi wa taifa.


Kuondolewa kwa kivutio cha nyongeza ya asilimia 15 kwenye salio la gharama za uwekezaji, kutaifanya serikali iweze kupata kodi ya asilimia 30 kutoka kwa wachimba madini hao ambayo haijapata kutolewa tangu waanze kuchimba madini hapa nchini mwaka 1997.


Kivutio hiki cha asilimia 15 kimekuwa kikitumiwa na kampuni za kuchimba madini kuonyesha kuwa zinapata hasara muda wote, hali inayozifanya zisilipe kodi kabisa, lakini sasa imefutwa.


Dk. Msabaha alisema pamoja na makubaliano hayo, bado kampuni za kuchimba madini zina jukumu la kuendeleza jamii zinapofanyia kazi ya kuchimba madini (social responsibility), hivyo zitapaswa kuwaletea maendeleo wananchi.


Makubaliano hayo yataiwezesha serikali na Kampuni ya Barrick Gold Mine kufanya marekebisho katika Mikataba ya Uendelezaji wa Madini (Mining Development Agreements - MDA). Huu ni mkataba unaokubalika kimataifa na Afisa mwandamizi wa serikali aliiambia Tanzania Daima baada ya mkutano na Dk. Msabaha, kuwa Rais Kikwete alijua kuwa palihitajika mabadiliko, lakini kuepusha vurugu zisizo za lazima, ilibidi mabadiliko hayo yasipandikizwe bali yawe shirikishi.


Alisema kama serikali isingezishirikisha kampuni za madini na kujadiliana nazo juu ya umuhimu wa kulipa kodi, ingeweza kuzua mtafaruku na migogoro mikubwa ambayo nchi ingeshindwa kuaminika kimataifa.


“Huwezi kubadili peke yako. Nchi haitapata wawekezaji kwa utaratibu huo kwani utajenga migogoro, utapata kesi na nchi itaongezewa riba kubwa katika mikopo ya kimataifa, hii inaitwa sovereign risk. Inaongezeka sana ukibadili mikataba bila utaratibu.


“Rais anastahili kupongezwa kwani mabadiliko haya yaliyofanyika yataliingizia taifa wastani wa sh bilioni 500. Amekuwa rais makini, mwenye kufikiri na kuweka mikakati na kwa kutumia ushawishi wa hali ya juu katika diplomasia ya uchumi, amewezesha mabadiliko kufanyika nao wakashawishika,” alisema afisa huyo.


Alisema katika nchi nyingine, mikataba inapobadilishwa kinakuwa chanzo cha kuvuruga uchumi wa nchi na anafarijika kuwa Tanzania imeweza kubadili mikataba hii bila kuathiri heshima ya nchi, kuitia wasiwasi Jumuiya ya Kimataifa (Sovereign risk), na wawekezaji wataendelea kuamini kuwa ni nchi inayothamini mazungumzo (negotiation) katika kufikia makubaliano badala ya mabavu.


Afisa huyo alisema Rais Kikwete ameonyesha tofauti katika kipindi cha miezi saba tu, ameweza kumpiku Rais aliyemtangulia, Benjamin Mkapa na sasa anafanya waliyodhani hayawezekani. Pia aligusia mpango wa kupeleka vijijini sh bilioni moja kwa ajili ya kukopesha wananchi kuwa ni sehemu ya ubunifu wenye manufaa kwa Watanzania.


Kwa wabunge wa Kanda ya Ziwa, mabadiliko haya yatakuwa ni sherehe kwao kwani kimekuwa kilio chao cha muda mrefu, wakitaka serikali itenge fungu lenye kueleweka litumike kwa ajili ya maendeleo ya maeneo yanapochimbwa madini.


Wabunge hao wamekuwa wakidai malipo hayo kama mrahaba, kwa maelezo kuwa wawekezaji hawawezi kufika mahala wakatoa fedha bila kubanwa na sheria.


Kwa mujibu wa Dk. Msabaha, makubaliano hayo yaliyofikiwa juzi kati ya Kampuni ya Barrick na Serikali ya Tanzania, yatahusisha kampuni nyingine baada ya majadiliano na kampuni moja moja na baadaye yataingizwa katika sheria.


http://www.freemedia.co.tz/daima/2006/8/23/habari1.php
 
Its a good thing kuanzia mahali.

najiuliza yaani hii ndio "win win" motto ya JK??

Halafu hawa waandishi vipii hawa???? huu ushabiki wao utaisha lini??

AMoshi (mwalimu) na wengine tufanye hesabu, tuone kama bado ni mkenge au tume "win"
 
Ogah
Nadhani that is better than before. Hatuwezi kujitangazia ushindi mpaka pale tutakapoweza kuondoa umasikini kwa kutumia raslimali tulizonazo. We need more effort. That was a great move. Ila waandishi wa habari wanahitaji medical attention.
 
suala la madini lilishaanza kuangaliwa tangu awamu ya Ben Mkapa. Kumbuka tume ya kuchunguza mikataba ya madini ya Dr.Kipokola?? Idrisa Msabaha alikuwa naibu waziri wa madini tangu mwaka 2000--2005, sasa leo anataka kuiruka hiyo mikataba? Tukubali tu kwamba kosa lilifanyika, limerekebishwa, tusikubali kurudia kosa.
 
Naomba mkumbuke kuwa CEO wa Barricks Bwana, Sinclair ni buddy wa Kikwete tangia enzi zile akiwa kwenye wizara ya Nishati.
Sinclair ameshakiri mwenye kwa public statement kuwa wao ndiyo wamiliki wa madini ya Tanzania na ye yote anayeta kuja kuwekeza kwenye madini lazima apitie kwake.
Tena huwa hamwuiti Kikwete rahisi bali "my friend Kikwete" hata wiki juzi alipokuwa na mkutano na Kikweti hapa Ikulu kwa lisaa limoja aliondoka na kuwaambia waandishi wa habari na share holder wa Barrick kuwa alikuwa na mkutano na "my friend" Kikwete na ameniahkikishia kila kitu kipo sawa hamna haja ya kuogopa.

Pia kumbuka huyu jamaa aliakwa kuhudhuria sherehe za kumwapisha Kikwete hata kabla ya uchaguzi mkuu, ukijaribu kupitia Press Release za Barricks utakuta hizi habari.

Kwa ujumla JK si lolote na hana cho chote kipya, sana sana mtafungwa kamba tu.

Kuna kazi kubwa kwa taifa letu.
 
Ogah na Joka Kuu,

Bado ni mkenge. Tatizo la msingi limeshughulikiwa kidanganyifu. Barrick Gold wataongeza tu kasi ya kuchimba dhahabu, ili ipatikane hiyo dola milioni 7.2 zaidi kila mwaka. Matokeo yake machimbo ambayo yangeisha dhahabu baada ya miaka 20 sasa yatakauka baada ya mika 15 au 10.

Tatizo la msingi lilikuwa sisi kulipwa 3% ya faida (sina hakika kama ni 3% ya faida au ni 3% ya thamani ya dhahabu inayochimbwa), badala ya kulipwa nusu ya faida au kugawiwa nusu ya dhahabu yetu. Hiyo 3% inawatia Barrick Gold aibu hata kwao. Inaabisha mbele ya kila mtu mwenye akili timamu. Kuna wakati Jerry Rawlings alitembelea wachimba dhahabu Tanzania akiwa na BBC. Walipoulizwa wanailipa Tanzania kiasi gani, walisema, kwa soni kuu ajabu, kwamba ni 3%. Mtangazaji wa BBC alibidika kuwafanya warudie hiyo 3%, na kipindi kikakatika hapo hapo.

Watu wataendelea kutucheka. Tumezidi kushangilia umbumbumbu. Tulikuwa tunalipwa 3% na sasa tutaendelea kulipwa hiyo hiyo 3%. Wataongeza kasi ya kutwaa mali, kwani watalipa sasa dola milioni 7.2 kila mwaka watakapokuwepo kuchukua mali. Suluhisho lao ni kuchukua mali yote kwa kipindi kifupi, ili malipo ya kila mwaka yafanyike kwa miaka hata 5 tu.

Ili kuondokana na mikataba isiyokuwa na manufaa kwa taifa, itabidi mikataba ijadiliwe na kupitishwa na wawakilishi wa wananchi kabla haijasainiwa na serikali.

JK hakuonyesha uwezo kwenye hili. Ameonyesha kwamba mbinu za udanganyifu zikibadilika hana uwezo wa kubadilika nazo.

Augustine Moshi
 
Mwalimu Moshi na AlJazeera,
Maneno yenu mazito. Wazungu wanasema "someone is pulling wool over our eyes."
 
Kwanza kwa Mfanya Biashara (Sinclair) kumtaja Rais kama (My Friend Kikwete) kwenye mazungumzo rasmi ni matusi ya nguoni. Alipashwa kusema "Rais Kikwete....", au "Mtukufu Rais...."

Tunaibiwa na kunyonywa kishenzi, na Rais wetu anachukuliwa kama bwana mdogo wao?

Na hivi vijidola laki mbili watakavyotoa kwenye wilaya vitatosha kitu gani? Ni hela kidogo sana, haitoshi hata kujenga nyumba moja ya kizee. Watu wanachukua wilayani mali ya dola milioni 500 kwa mwaka, na wanawapeni dola laki 2? Kwa nini mpokee?

Kama bepari akikuta mahali watu wanakubali makombo, hutoa makombo kidogo kweli. Kitaifa, tumeongezewa kombo lingine, na watu wameshangilia. Ilibidi tuseme ni lazima tugawane chakula, la sivyo hakuna mtu atakula hapa.

Augustine Moshi
 
Hivi viini macho vya serikali yetu vimezidi sana.

kama ambavyo Msabaha na Masha walivyojitokeza na kusema kuhusu hizo kodi mpya ni kitu gani kigumu then kutuwekea mikataba hiyo wazi, wanamahesabu akina Moshi wakafanya vitu vyao??

Msabaha, Masha, please msitufanye watoto hapa, toeni hiyo mikataba watu waichambue, cha kuficha ni nini?
 
Mwalimu umeniacha hapo, are they taking USA dollars 500 million per annum?
Another issue ambayo mie naweza nika kubaliana na huyu Meneja Mzalendo wa Barrick, hizi kampuni zina transparency ya hali ya juu sina. Halafu lazima zi-pass investor assessment kuhusu mambo yote katika good governance, transparency, worker's benefits, na community development.
Ila tu kuna vipi ambavyo huwa havisemwi, hizi deal kuzipata vile vile kuna zile ten percent ambazo huenda kwenye secret accounts, maybe hii mikataba hupindwa wakati huu. Unajua board of directors sometimes lazima wachukue risk kupata deal ili wawafurahishe shareholders. Do you get me? It is survival kwa directors.
But the big questions comes on the side of our non charistmatic government officials when they accept such clauses in contracts!!
 
Sinclair amesema viongozi wote Tanzania wako in his pockets. Anadai anajua nani atakuwa Raisi baada ya Kikwete!!
 
Interested Observer,

Barrick Gold ndio wachimbaji wakubwa wa dhahabu nchini kwetu. Katika kipindi cha mwaka kinachoishia April 2006, thamani ya dhahabu iliyouzwa nje toka Tanzania ni US$641.7 million. Mwaka uliotangulia tuliuza nje dhahabu yenye thamani ya US$ 629.4 million. Sehemu kubwa inatoka Barrick Gold.

Ukiondoa gharama za uendeshaji, kama vijidola millioni mia, basi utaona kwamba haya makampuni yanavuna mali ya kama US$500 million toka kwetu, kwa mwaka. Sasa mtu na akili timamu badala ya kudai tugawane hizo dola milioni 500 unapokea kwa shangwe ruzuku ya dola milioni 7!

Tunapashwa kugawana mali inayovunwa, na sio tupewe ruzuku. Mtu anayekuambia sitaki kugawana mali yako nawe, bali nitaangalia mfukoni nikupe senti kadhaa kila mwaka, anakufanya taahira.

Hatutaki ruzuku; tugawane kinachopatikana. Mkiamua kikivuna haraka na sisi tunapata mgao mkubwa haraka.

Vile vile IO, hizo dola million 7 zinazoshangiliwa ni 1.09% ya thamani ya dhahabu tunayouza nje. Its peanuts. Hata zingekuwa 20%, bado sio sawa, kwani TUNAPASHWA TUGAWANE MALI, SIO TUPEWE RUZUKU.

Article inafuatia hapa chini.

Augustine Moshi
==================

Gold exports 93pct of Tanzania's mineral sales in 2005

Exports of gold have generated around 93 percent of Tanzania's foreign currency earnings from the mineral sector last year, according to the latest statistics of the central bank.

The Bank of Tanzania figures showed that last year's exports of gold had fetched the country 641.7 million U.S. dollars while exports of gemstones of tanzanite, rubies, sapphires and emeralds got the country 31.4 million dollars. Exports of diamonds netted Tanzania 19.7 million dollars.

"During 2005, non-traditional exports went up by 13.3 percent to 1,176.3 million dollars," said the bank's monthly economic review for January.
"Gold led the list by accounting for over 50 percent of the total non-traditional exports due to improved prices in the world market and increase in production," the review added.

All told, exports of minerals accounted for 58.89 percent of last year's Tanzanian foreign currency earnings. The remainder came from exports of manufactured goods, fish and fish products, horticultural products, vegetables, oil seeds, cereals, cocoa, raw hides and skins, and woods.
Exports of gold earned Tanzania 629.4 million dollars in foreign exchange in 2004.

Source: Xinhua
 
Kumbe bado ni uhinu ule ule! Hivi ni nani ametulaani?


Kwa kweli suala la madini msipolishughulikia vizuri. Tutawashughulikia na familia zenu hata kama mtakuwa na miaka 90 kama Pinochet!

Huu si utani hata kidogo na inawezekana msifikiri haiwezekani!.

Mtu hawezi kuvuna hela zote hizo halafu anatoa tu hela kidogo kiasi hicho!


Na hii sasa kama alivyosema Moshi, hawa wavunaji watavuna kwa kasi kubwa ili waondoke wanawekeza nje tu.
 
Sasa unaona Barrick Gold wamewanunua Placer Dome! Yaani walikuwa wanajua watafanya hivyo, lakini wakaacha waliolala wadhani watapata dola milioni 7 nyingine toka Placer Dome!

Kampuni zinakuja, zinapewa misamaha ya kodi kwa kipindi. Kabla hazijaanza muda wa kulipa kodi zinauzwa na kutokomea zake.

Tuna upungufu mkubwa wa vijana walioiva kwenye elimu na utetezi wa haki. Kama vijana wa vyuo vikuu vyetu hawasemi chochote viongozi wanapokubali taifa lipewe 3% tu ya mali yake, basi elimu yao ina walakini. Wanafunzi wangeweza kuishinikiza serikali hadi izingatie mikataba iwe na faida kwa taifa..

Augustine Moshi
 
Tunataka uamuzi kama aliochukua rais wa chad wa kuyaFUKUZA Makampuni ya Marekani na Malasyia yanayochimba mafuta nchini mwake. Yalikuwa hayataki kulipa KODI. Ameyapa 24 hrs kuondoka. Wakati sisi hawa wezi wamekataa kulipa hizo milioni mbuzi(200) katika halmashauri kwa kipindi cha miaka 6.

Leo hii wameanza kulipa lakini hawajalipa madeni yao! Inasemekana MIKATABA ILIWATA WALIPE. Sasa swali ni kwa nini walikuwa hawalipi?

MBONA BUNGE HALITOI STATEMENT KWA MAMBO KAMA HAYO? BALI KUKEMEA MAMBO KAMA YA DARWIN BUNGE LIKO JUU! NA BOSS WAO LOWASSA!



DAWA NI KUANZISHA SERLAKI ZA MAJIMBO . TUMECHOKA KUIBIA NA WATU WENGINE WANAOTOKA SEHEMU KAVU!!!!!!!!!!!!!!HATA MAJI HAKUNA!!!!!!!
 
Back
Top Bottom