Rev. Kishoka
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 4,526
- 1,529
Nimetoka kusikiliza Symposium ya Baraza la Wachumi Tanzania na Benno Ndulu nikajiuliza swali hili dakika ya nne baada ya kumsikiliza Benno.
Je Tanzania kuna sera ya Job Creation ambayo ni Dynamic? Maana HapaKaziTu si sera ya ajira au kuwa na malengo ya kuzalisha ajira, Tanzania ya viwanda si sera ya Job Creation, ni wapi ilipo hii sera?