Does it mean Gazeti la MwanaHALISI Ndiyo Kwaheri!!?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Does it mean Gazeti la MwanaHALISI Ndiyo Kwaheri!!??

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kingcobra, Sep 30, 2012.

 1. Kingcobra

  Kingcobra JF-Expert Member

  #1
  Sep 30, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 1,008
  Likes Received: 137
  Trophy Points: 160
  Wandugu,
  Nilikuwa kifungoni ndiyo nimetoka mida hii navuta pumzi ya uraiani baada ya mwezi mzima wa kukaa lupango na kunyea debe nikituhumiwa kuwa mchochezi.

  Nilipoingia tu humu jamvini nimekumbuka mara moja gazeti kipenzi cha watanzania gazeti la MwanaHalisi. Hivi wadau tuambizane ukweli, does it make sense mpaka sasa gazeti hili kufungiwa? Najua lilifungiwa kwa kipindi kisichojulikana kwa mujibu wa sheria kandamizi, lakini je, serikali kuendelea kukaa kimya mpaka sasa tafsiri yake ni nini? Au ndiyo imetoka hiyo?

  NOTE:
  Kifungo nilichopata ni BAN YA HUMU JF.
   
 2. Dumelambegu

  Dumelambegu JF-Expert Member

  #2
  Sep 30, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 1,052
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Mkuu King, kumbe ulikuwa kifungoni!! Ndiyo maana nasikia harufu ya mtu anayeonekana hajaoga muda mrefu sana. Kuhusu Mwanahalisi bila shaka hiyo ni kwa heri. Serikali ya magamba haiwezi kuruhusu liingie mitaani tena hasa katika kipindi hiki cha uchaguzi wao wa ndani.
   
 3. OSOKONI

  OSOKONI JF-Expert Member

  #3
  Sep 30, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 10,809
  Likes Received: 3,893
  Trophy Points: 280
  Pole kwa lupango ila kama ulienda huko kwa ajili ya kupigania haki jina lako litabaki kwenye historia ya nchi yetu ila kama ulikwenda kwa kukwepa kuhesabiwa au kusHawishi watu wasihesabiwe umepokea ujira sahihi wa kazi yako,!! kuhusu mwanahalisi Lipo kifungoni kisichojulikana kitaisha lini huenda ni cha milele au cha muda only serikali ya magamba ndio inajua ila naona hakitapita 2015 kwani baada ya ukombozi litafunguliwa!!
   
 4. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #4
  Sep 30, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Limefungiwa kwa muda usiojulikana...
  Muda wowote laweza kuruhusiwa.
   
 5. Facilitator

  Facilitator JF-Expert Member

  #5
  Sep 30, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,288
  Likes Received: 802
  Trophy Points: 280
  Pole kwa kuchezea ban kamanda. Ila next time fungua ID mpya kama debra1, fauster john, almasiomary, nimekoma n.k. Hawa wamekuja kivingine baada ya kula life ban.
   
 6. sindano butu

  sindano butu JF-Expert Member

  #6
  Sep 30, 2012
  Joined: Aug 20, 2012
  Messages: 478
  Likes Received: 84
  Trophy Points: 45
  natamani SIKU TBC walifungie kwa KUFICHA UKWELI !
   
 7. M

  Mbwambo JF-Expert Member

  #7
  Oct 1, 2012
  Joined: Nov 25, 2008
  Messages: 626
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 33
  Pole sana kwa kufungwa na hongera kwa kutoka jela
  Mungu ataendelea kukupigania
  asante
   
Loading...