Does Experience matters? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Does Experience matters?

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Manda, Apr 15, 2008.

 1. Manda

  Manda JF-Expert Member

  #1
  Apr 15, 2008
  Joined: Sep 24, 2007
  Messages: 2,075
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Am expecting to be graduating very soon, sadly enough our education system makes us to JOB SEEKERS and not JOB CREATORS!, na pengine wachache wanao bahatika kuwa JOB CREATORS lack of capital inawafanya wawe JOB SEEKERS kwanza kabla ya kujiajiri.

  Nina kawaida ya kusoma kwa makini sana advert mbalimbali za kazi hususani ktk field yangu kujua ni vigezo gani pengine wanaangalia kabla ya kuajiri as far as my field is concerned manake na mimi nitakuwa JOB SEEKER mda si mda. Lakini napatwa na tatizo kidogo sio tu ktk field yangu pia ktk field zingine kuhusiana na kigezo cha EXPERINCE! i.e we need s'one with experience of a certain period fo time.

  1. Whats the rational of putting the issue of experience in Job advertising?

  2. For we pure graduates what we should do?

  3. Kwa nyie ambao ni waajiri or may be mna a,b,c za uajiri je the aim is to retain workers so far on the employement circle au ndo matas of effecient&effectiveness?

  4. Kwa mimi na wenzangu ambao ni victim wa kuto kuwa na ''EXPERIENCE'', mnatushauri nini?, kuacha ku apply posts zote zenye kigezo hicho au ku apply hivyo hivyo tu? ('coz i heard mda fulani ni mbinu ya kupunguza idadi ya applicants)!

  Waajiri na Waajiriwa so far, embu tusaidieni akina sie non-waajiriwa ila waajiriwa wa mbeleni the way forward!
   
Loading...