Does anyone of us know what the hell the National Board of Accountants and Auditors (NBAA) is doing?

Pulchra Animo

JF-Expert Member
Jun 16, 2016
2,108
2,000
JF patrons:

Does anyone of us know what the hell the National Board of Accountants and Auditors (NBAA) is doing? Does the Institution even have key performance indicators (KPI) against which it evaluates its performance?

The Board administered its last professional examinations in early November 2017, but as of this writing (more than 100 days later) no exam results have been released. This is just not acceptable. Period.

NBAA needs to relinquish the examining-body role and get more focused on regulating the accounting profession. Doing so is not only in line with the practice almost all over the world but also a crucial step to eliciting innovation and desirable efficiencies in the administration of professional exams. NBAA acheni ukiritimba usiokuwa na tija!
 

Dumbuya

JF-Expert Member
Jan 23, 2014
559
1,000
Separation of examination duties and regulation of the accounting profession is vital to the continuation of NBAA.

Ukiacha hili tatizo la mitihani ya November 2017 kiujumla uratibu wa mitihani ni mbovu na unagubikwa na changamoto nyingi ambazo ama wamezikalia kimya au wameshindwa kuzitafutia ufumbuzi.
 

cavee_louie

Senior Member
Aug 16, 2016
173
225
Board inajulikana inaenda mwisho wangeteua anaeweza kushikilia nafasi wanakwambia paper za may zipo pale pale wasome
 

Gambino

JF-Expert Member
Aug 12, 2014
3,584
2,000
NBAA ni bodi ya kitaaluma ya hovyo kuliko bodi zote hapa nchini.

Ni bodi inayoongozwa na watu wasiofikiri, ambao hawaoni mbele.

Kwanza, bodi bado ina utaratibu wa kizamani sana, bado inafanya usajili manually pamoja na ukuaji wa teknolojia, utakuta kipindi cha mwisho cha usajili watu wamejazana bodi kama wanatafta kazi, bodi ni ya hovyo kabisa.

Pili, bodi iachane na kutunga mitihani, ibakie na kazi ya kusimamia ubora wa taaluma, hata kwenye sheria iko hivyo.

Tatu, bodi iache kulazimisha watahiniwa kununua vitabu vyao, kuweka gharama ya vitabu kwenye gharama za mitihani ni kuwaibia watahiniwa, kwani kuna kitu gani unique kwenye vitabu vyao hadi walazimishe watu kuvinunua?

Nne, Bodi iachane na mfumo wa mitihani kufanyika mara 2 kwa mwaka, huu ni utaahira, hii mitihani ni ya kitaaluma, sio semister kwamba lazima uwe umesoma modules na masaa kibao ndio uruhusiwe kufanya. Mitihani inapaswa kuwepo mara 3 au 4 kwa mwaka. Huu utaratibu wa sasa umepitwa na wakati na ni wa kijinga.
 

Prince Akeem

JF-Expert Member
May 26, 2013
883
500
NBAA zamani naona ilikuwa ilaeleweka hasa kipindi kile.

Mitihani ilipokuwa kwa module A mpaka F


Ila baada ya kuja haya ma stage imekuwa ya hovyo sana
 

Kitrack

Member
Dec 11, 2011
50
95
mbona taasisi nyingine board chairman ni upesi walishapatikana,sasa kwenye board kubwa kama Nbaa hadi April hii hola..mitihani tangu tufanye November 2017 !
Mh.Raisi tunaomba utusaidie kwenye hili jambo.
its torture kwa kweli kusuburi majibu ya mtihani bila matarajio ya kujua lini yatatoka.
 

Mopalmo

JF-Expert Member
Nov 11, 2010
533
225
hatimae matokeo yaachiwa cpa 450,mi si mmoja wapo ila wamenilostisha maana ningepata matokeo mapema ningekua nimefanya na hilo somo la mwisho walilonishika
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom