does anyone know about this? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

does anyone know about this?

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by The_Analyst, Jan 29, 2009.

 1. T

  The_Analyst JF-Expert Member

  #1
  Jan 29, 2009
  Joined: Nov 25, 2008
  Messages: 214
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Hellow everyone,
  I have this problem i would like to ask to anyone with an idea to help me with this informations:
  1. What is minimum wage and wage period in Tanzania.
  2. What are the Layoff compensation policies in Tanzania.
  That's all, thanks in advance.
   
 2. Augustine Moshi

  Augustine Moshi JF-Expert Member

  #2
  Jan 30, 2009
  Joined: Apr 22, 2006
  Messages: 2,214
  Likes Received: 316
  Trophy Points: 180
  Salaries are paid monthly in Tanzania, and the minimum wage seems to be about $200. It would be nice if they could pay that amount fortnightly!
   
 3. Pundamilia07

  Pundamilia07 JF-Expert Member

  #3
  Jan 30, 2009
  Joined: Oct 29, 2007
  Messages: 1,433
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  The_Analyst,

  Raha ya maji ya madafu unywe kwenye dafu lenyewe. Nimekuwekea link hapo chini, ingia na utapata mengi na kama utahitaji ufafanuzi unaweza kuwasiliana na wahusika moja kwa moja.


  Go to: http://www.ate.or.tz/documents/docs/ciruclar09.doc
   
 4. Augustine Moshi

  Augustine Moshi JF-Expert Member

  #4
  Jan 30, 2009
  Joined: Apr 22, 2006
  Messages: 2,214
  Likes Received: 316
  Trophy Points: 180
  Pundamilia,

  Has it not occurred to you that The_Analyst is probably without knowledge of Kiswahili? Swahili speakers are unlikely to want to know the frequency of salary payments in Tanzania.

  The man (or woman) is probably a student who has heard about Tanzania and would like to know how and when the people there are paid.
   
 5. Pundamilia07

  Pundamilia07 JF-Expert Member

  #5
  Jan 30, 2009
  Joined: Oct 29, 2007
  Messages: 1,433
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Augustine Moshi,

  Kiswahili ni lugha kama ilivyo lugha zingine. Kama muuliza swali atakuwa hajaelewa kutoka katika majibu yangu basi nadhani atasema na nitampatia jibu lililo katiika lugha ambayo yeye ataona ni nyepesi kuelewa.
  Vinginevyo sioni haja ya kumsemea juu ya hili ilhali yeye mwenyewe yuko kimya.
   
 6. Augustine Moshi

  Augustine Moshi JF-Expert Member

  #6
  Jan 30, 2009
  Joined: Apr 22, 2006
  Messages: 2,214
  Likes Received: 316
  Trophy Points: 180
  Pundamilia07,

  Mtu ambaye haelewi umesema nini (kwa vile haelewi lugha yako) atajisemeaje mwenyewe?
   
 7. Pundamilia07

  Pundamilia07 JF-Expert Member

  #7
  Jan 30, 2009
  Joined: Oct 29, 2007
  Messages: 1,433
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Ulishawahi kufika mahali ambapo hakuna hata mtu mmoja anayefahamu lugha yako unayoongea? kama ndiyo tueleze ulilala na njaa?
   
 8. Augustine Moshi

  Augustine Moshi JF-Expert Member

  #8
  Jan 30, 2009
  Joined: Apr 22, 2006
  Messages: 2,214
  Likes Received: 316
  Trophy Points: 180
  Hapana! Sehemu zote nilizofika wanaongea angalau Kiingereza kidogo. Hata Msumbiji nilitakiwa nionyeshe Triangle (traffic cops in Mozambique are always asking for that) na walipoona sielewi, they proceeded to speak something similar to English.

  Huyu mtu inawezekana hakujua hata kama umemjibu! Atakujibuje "mwenyewe"?
   
 9. Pundamilia07

  Pundamilia07 JF-Expert Member

  #9
  Jan 30, 2009
  Joined: Oct 29, 2007
  Messages: 1,433
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Augustine Moshi,

  Ondoa dhana katika mawazo yako kwa sasa hivi kwani kwa kufanya hivyo maisha hayataweza kusogea hata kwa sekunde moja.

  The_Analyst ndiye aliyeanzisha hii thread for sure kama angekuwa amerudi hapa kuangalia majibu na kuona hajaelewa lugha nilitundika hapo ni wazi angeuliza.

  Hata hivyo basi kwa mfano ulioutoa wewe hapo juu juu ya askari wa Msumbiji, nina hakika kuwa The_Analyst pamoja na kwamba haelewi lugha (kwa mtazamo wako) amepata kuona neno 'link' na chini yake ipo hiyo link.

  Lakini nilichotaka kusema hapa hasa kuwa kiswahili ni moja tu ya nyenzo za mawasiliano kama lugha na ambapo katika nyenzo kama hizo basi ndiyo tuna kiingereza, kichaga, kipare nk.

  Nikirudi kwenye suala la msingi yaani mawasiliano unaweza kufikisha ujumbe wako popote na kwa mtu yeyote pasi na kutumia lugha. Unaweza kutumia ishara, mlio, nk

  Katika posting yangu hapo juu kwa mtu wa kawaida bila ya kujali hazungumzi lugha ya kiswahili ni wazi kuwa nimeweza kuwasiliana naye in any how. Moreover, maelezo ambayo ni muhimu yapo.

  Lakini hata hivyo kama ataona kuwa anahitaji English Version ya maelezo yangu nitampatia.
   
 10. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #10
  Jan 30, 2009
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,804
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  - Please, Tafadhali!!!

  - We have a number of good translators in town and I guess it should not be a problem with The_Analyst getting what he wanted from ATE website.

  - Pundamilia07, asante kwa hiyo link.
   
 11. E

  Edo JF-Expert Member

  #11
  Jan 30, 2009
  Joined: Jun 11, 2008
  Messages: 728
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  Unaweza kwenda kwenye google na ukapata huduma ya tafsiri toka lugha moja kwenya nyingine, ni kitu rahisi sana!!!!!!
   
 12. E

  Edo JF-Expert Member

  #12
  Jan 30, 2009
  Joined: Jun 11, 2008
  Messages: 728
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  ....kwenda lugha nyingine
   
 13. Lole Gwakisa

  Lole Gwakisa JF-Expert Member

  #13
  Feb 5, 2009
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 3,962
  Likes Received: 403
  Trophy Points: 180
  Policies supporting this kind of thinking died with Ujamaa(RIP), remember SCOPO?It was the arm to facilitate this policy.
  Siku hizi market forces reign.
  Si ajabu ukakuta mlinzi analipwa laki 5 wakati kuna kampuni inayolipa wahandisi wake laki 4!
   
 14. Mwanamalundi

  Mwanamalundi JF-Expert Member

  #14
  Feb 5, 2009
  Joined: Aug 30, 2007
  Messages: 3,034
  Likes Received: 396
  Trophy Points: 180
  I have got little information here. Perhaps this might help.

  Minimum wages in Urban Tanzania, 1980-1995 (Tanzanian Shillings/Month)

  Year Nominal wage
  1970 170
  1971 170
  1972 240
  1973 240
  1974 340
  1975 380
  1976 480
  1977 480
  1978 480
  1979 480
  1980 480
  1981 500
  1982 600
  1983 600
  1984 810
  1985 810
  1986 1053
  1987 1370
  1988 1645
  1989 2075
  1990 2500
  1991 3500
  1992 5000
  1993 5000
  1994 10000
  1995 17500
   
 15. Mwanamalundi

  Mwanamalundi JF-Expert Member

  #15
  Feb 5, 2009
  Joined: Aug 30, 2007
  Messages: 3,034
  Likes Received: 396
  Trophy Points: 180
  Source: Economic Surveys in Tanzania
   
Loading...