MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,562
Dear Mamboz! Hope wote wazima
Ninauliza tu kama ni kweli......... Leo asubuhi nilikuwa nasikiliza mahubiri kutoka kwenye Radio moja hapa Dar. Alikuwa mchungaji wa kike akawa anasema kuwa ni muhimu kwa wanandoa kuhakikisha kuwa wanapishana vya kutosha kiumri................ Na alisisitiza kuwa Mwanaume anatakiwa kuoa mwanamke ambaye ni mdogo kwake kwani wanawake wana (tuna) zeeka mapema so to avoid mwanaume kuona aibu kuongozana na mkewe ambaye ataonekana mzee kuliko yeye ni bora akaoa mke mwenye umri mdogo kuliko yeye. Hii inaniletea maswali makuu mawili
1. Is it true? If it is indeed then the,
2. So usemi wa mapenzi ni maua, popote huchanua sijui age aint nothing but a number e.t.c haiapply practically?
Wakuu, ninaomba msaada wenu juu ya hili