Dodoso:jamhuri kushindwa kesi mahakamani:waendesha mashtaka wa jamhuri wana weledi wa kutosha? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dodoso:jamhuri kushindwa kesi mahakamani:waendesha mashtaka wa jamhuri wana weledi wa kutosha?

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by Mpigaji, Aug 9, 2012.

 1. M

  Mpigaji JF-Expert Member

  #1
  Aug 9, 2012
  Joined: Feb 6, 2011
  Messages: 386
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kwa mara nyingine tena Serikali imepigwa mweleka katika kesi iliyofungua dhidi ya aliyekuwa balozi wa Tanzania nchini Italia.Nini maoni yako kuhusu weledi wa Ofisi ya Mkurugenzi wa Mashitaka nchini na ile ya mawakili wa serikali??
   
Loading...