Uchaguzi 2020 Dodoma yazizima kwa Maandalizi ya Lissu kuchukua fomu 8.8.2020

Sidhani kama ni sahihi Tundu Lisu kuacha kuongelea shambulizi dhidi yake. Huo ni mfano mzuri wa mahali tulipo leo, na yeye kuwahakikidha wapiga kura kuwa mambo ya hovyo kama hayo yaliyompata hayatatokea.

Sent using Jamii Forums mobile app
Akielezea hilo, asiwe mbinafsi AELEZEE na la Chacha Wangwe. Ni muhimu sana historia ya CHADEMA katika mapambano yao wasimsahau huyo ndugu. Lissu asiwe selfish in these issues ili watoto wadogo wa siasa za CHADEMA wajue na hilo. Mkumbusheni sana hili mgombea Lissu ili kumtendea haki Chacha Wangwe and may his soul rest in peace. Amen.
 
Yanajirudia yale ya 2005 mbowe kupata kura laki sita

Lisu atavuna kura laki mbili trust me.

kwa nyomi waliojitokeza leo dodoma umewapa kichwa sana, yaani hapo sjui nan anapigia kura uyo mwenye tatizo la akili
 
kwa nyomi waliojitokeza leo dodoma umewapa kichwa sana, yaani hapo sjui nan anapigia kura uyo mwenye tatizo la akili
"Bloo" hujakata tamaa tu? Kila uzi wa Lissu hukosekani kutia neno. Una roho ngumu sana kama paka au baba yako jiwe.
 
Inawezekana lile nyomi la kumpokea airport ndo lilikuwa la mwisho na dalili kuwa Lissu anajulikana Dar na Singida tu. Dodoma mmetufumbua macho
 
Masuala haya ni PESA, SI UNAJUA MAMBO YA aittime!? Kama huna pesa hakuna wa kukutoa hewani sio masuala ya bure bure tu. Unachoweza kuambulia labda ni kanukta tu kwenye taarifa za habari. Vyombo vya habari viko katika msimu wa kuvuna. Usiwaone UVCCM wakirushwa ukadhani ni bure, no wanalipia kila kitu ndugu yangu.
Chadema waliobaki walidhani zile rusha hewani Kila tukio la Lowasa hata akicheka wanadhani ilikuwa bure!!!

Wakiandikwa kipindi kile Kila gazeti walidhani kuwa media zilikuwa zikitangaza bure .!!! Airtime ilikuwa inanunuliwa na kurasa za magazeti kulipiwa haikuwa bure
 
Back
Top Bottom