Dodoma: Yaliyojiri kwenye Mkutano Mkuu Maalum wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)

Namuombea kura za NDIO , Rais Magufuli , Dr Shein na Mzee Mangula ,

Washinde kwa kishindo

Kidumu chama cha mapinduzi
Hvyo vishindo huwa vinamsaidia nani???
View attachment 653405
HAHAHA HAKUNA CHA VIVA WALA MAKANYAGIO...
TUNAHITAJI VIWANDA, ELIMU, AJIRA, SIO MAMBO YA KUJIPIGIA PROMO KAMA KINA DIAMOND WAKITOA NYIMBO MPYA!!!
KITU PEKEE WATANZANIA TUNAHITAJI NI MAENDELEO,
MUDA HUU WA KAZI WATU TUPO KAZINI MPO KWENYE TV MNAHUBIRI KITU GANI ?WAKATI MNASISITIZA TUFANYE KAZI NYIE VIPI?..........HII SIYO KAZI TULIYOWAPA KAZI NI KUTUPATIA KAZI NA KUBADILISHA MAMBO HAYA YALIYOPO AMBAYO CHANZO NI NYIE NYIE MAFISIEM
 
huu ni muda wa kazi, Ni vizuri hiko kikao wangekiwafanya 9/12/2017 maana haikuwa siku ya kazi au wangekifanya siku za holiday kama jumapili na jumamosi. Uzalendo ni kufanya kazi kwa bidii na sio kukaa kwenye TV na kuangalia matangazo live ya chama cha siasa tena yakihusisha viongozi wakubwa wakubwa ambao walipaswa kuwepo ofisini kutatua kero zetu..
 
Namuombea kura za NDIO , Rais Magufuli awe Mkiti wa CCM , makamu Mkiti Dr Shein ,na Mzee Mangula makamu Mkiti bara

Kidumu chama cha mapinduzi
 
Wadau,
M
Matangazo Mubashara kupitia ITV na TBC kutoka Ukumbi wa Jakaya Kikwete

Karibuni.
Viva CCM
Viva JPM
CCM ni chama au serikali? Nilisikia watu wanasema kuwa hakuna mikutano wala nini mpaka 2020. Mwenzetu vipi Noah umepewa nini maana naona kila siku huachi taarabu za viva.
 
d0f795cac464e499ea56556c54bc9e4c.jpg
 
Tena subiri utasikia maajabu Leo.
Kura zilizopigwa: 1550
Kura zilizoharibika: 7
Kura za hapana: 0
Kura za Ndio: 1790
Ushindi ni 138%.
Magu oyee!
Hawa jamaa bhana kisha wakiondoka hapo wataachwa bila hata nauli ya kurudia makwao...
 
Back
Top Bottom