Dodoma vs Thika

Thika (139,853)
Big Employers
-BIDCO Oil Refineries
-Del Monte Pineapples
-Thika Coffee Mills
-Nakumat

Kibaha (EST. 135,000)
Big Employers
-Mohamed Kiluwa Group & Co. (Nondo)
-MMI intergrated Steel (Nondo)
-Equator SUMA JKT ltd ( Kuunganisha magari ya zima moto na matrekta)
-KEDS (T) CO. Ltd. (Detergents )
-TAMCO - kiwanda cha kuunganisha matrekta
-GLOBAL PACKAGING (T) Ltd. (Vifungashio)
-BENBROS- Kiwanda cha kuunda Mabodi ya magari/Mabasi (coming up)

ELDORET (289,380)
Big employers
- coca cola
- maize miling (k) ltd
- Kenya Seeds Co. ltd
- Rivertex East Africa ( Textile)
- Moi university
- Eldoret Steel Mills ltd
- eldoret International Airport
- Ken Knit (Kenya)
- Moi Teaching and Referral Hospital
- University of Eldoret
- Rift Valley Technical Training Institute

DODOMA (410,956)
Big Employers
- St. John University
- Dodoma University
- Institute for Rural Development Planning
- College of Business Education
- Open University of Tanzania
- Mineral Resource Institute
- Local Government Training Institute
- Mirembe Nursing School and College
-Tan foam Mag0doro Dodoma
- Bunge
- (soon - Ikulu na wizara)

Na uko sure those are the only major industries in Thika, Kenya's reknowned industrial town? You have conviniently left out the motor and machinery assembly industries.

Industrial services in Thika, Kenya - List of Industrial services companies

And that list is not even complete!

Now, we are not talking about tourism and real estate industry in that town.
 
Not been to mbeya and Dodoma. Dangote has only been to Dar, but I think you're more ignorant than him, so...

Still, you've neither disclaimed the links nor explained my ignorance, or you're ignorant of the meaning of the word "ignorant"?
Dangote has been to Mbeya and Mtwara too!
 
The only thing Dodoma iko nayo ni parliament building. Otherwise hakuna mji hapo...... Udom is Dodoma and Dodoma is Udom.Long story cut short, You seriously need to improve the image of your Capital city.... Ni aibu.Mkishindwa na mji nambari kumi Kenya mnaanza ooh Alshabaab ooh blah blah blah....
Ni kweli lkn thika ni older than dodoma it's like to say dodoma iko kwenye adolescence while thika is matured city..... Dodoma inapangika vizuri na inakuja kwa kasi sana I bet itakuja kuwa miongoni mwa miji itakayovutia sana kuliko hata hiyo thika because thika kinachoipa mbeleko ni ile climate yake. Dodoma needs much recreation and that seems to start taking over now..... Miradi mbali mbali kama ule wa NHC wa Iyumbu Satellite Centre Utaupendezesha mji huu na kuufanya kuvutia watu inspite of its climatic condition.....

Usisahau pia Serikali ya Tanzania ndio inahamia kule so I bet njoo kwenye uzi huu after muongo mmoja ndo tubishane
 
Dah huu ubishi wa kipuuzi.. Binafsi nakubali kuwa KENYA wametuacha mbali sana... Najitahidi kusoma ili kuleta new idea on how to buld our nation.. We're far back from KENYA... NAIROBI NI PAZURI KULIKO DAR.. MOMBASA NI NZURI KULIKO MWANZA... HATA HAPO THIKA PANAENDANA NA ARUSHA...
Umeongea truth, ingawa nimefika neither of the cities in kenya lakini through speculation I discovered wametuzidi hii jamaa
 
Pia Dodoma sio mji Wa nne kwa Tanzania jaribu kufanya research, Dom unaweza kua mji Wa kama Wa nane ama Tisa kwa tz
 
Not been to mbeya and Dodoma. Dangote has only been to Dar, but I think you're more ignorant than him, so...

Still, you've neither disclaimed the links nor explained my ignorance, or you're ignorant of the meaning of the word "ignorant"?
According to that source, Dodoma is Larger than Mbeya, Tanga, Morogoro, Zanzibar, and because of your ignorance u just believe the link,
Ujinga ni mzigo.
 
According to that source, Dodoma is Larger than Mbeya, Tanga, Morogoro, Zanzibar, and because of your ignorance u just believe the link,
Ujinga ni mzigo.
And according to your mouth(due to the lack of sources from you supporting your claim), Dodoma is smaller than all those.

Which begs the questions, who/what do I believe? How trustable are statistics on your cities if a single town can be the 4th, 8th and 9th largest town at the same time?
 
umeambiwa Dodoma bado manispaa. tuna majiji matano Dsm, Mwanza, Arusha, Mbeya na Tanga huwezi ukatumia akili yako kufikiria kuwa nafasi ya kwanza mpaka ya tano inachukuliwa na majiji. ufikiriage na wewe siyo kuforce kisichosahihi.
 
City ni term inatumika kudefine how self sufficient a town is .. Na status inategema upo wapi... Kifupi hapa wanalinganisha ukubwa miji... Unaweza ukawa na jiji likawa dogo vile vile kwa mji maana status ya mji no recognition ta ukubwa Wa mji... Sasa kama mji umekua na hamtaki kuupa hadhi yake..inaufanya mji unakuwa Mdogo?!! Kamwe huwezi linganisha mji wenye watu 410,000 na tumiji twa watu 200,000 eti kisa tu ni tujiji... Tukienda hivyo hivyo hata New Orleans City yenye popn ya 300k ilinganishwe na Dar /Nairobi... Itakuwa in upuuzi japo yote ni majiji
 
A

Mi nakuelewa sana kiongozi tena tupo pamoja. Nitakuambia baadaye kwanini tupo pamoja ila unahisi kam ninakupinga.
 
Kazi kweli kweli. wengine wanaweka picha za kwenye plannning.

Lakini Twende mbele.
 
FB_IMG_15435785369057927.jpg
FB_IMG_15435785215364632.jpg
FB_IMG_15435783088744255.jpg
 
Hata ungekuwa unajua kama mungu. Dodoma haifikii Thika. Thika iko miaka 100 mbele ya dodoma. Labda kama mnaishinda kwa kufyatua wanadamu.
Wee wacha hiyo, Thika sio ya kulinganisha na Dodoma City, Thika Size yake Ni Katavi Region.
Dodoma is another flash
 
Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom