Dodoma: V8 ya milioni 140 mali ya Serikali yauzwa kwa milioni 4.9

Halafu Madam analegeza macho tu au kuna tamko kalitoa?

Najaribu kufikiri, hivi angekuwepo Magufuli sijui muuzaji na mnunuaji wangetokea mlango gani, hkiiiiiiiiiiiiĂ¯Ă¯iiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!!!
 
Hiyo gari kama ilinunukiwa miaka mitano nyuma itakua imeuzwa ghali sana
Kwenye uhasibu kuna vitu vinaitwa depreciation na wear and tear
 
Anayehitaji hizi v8, Nissan na cruiser used za serikali anione PM.
Nitamsaidia jinsi ya kuzipata kwa process halali na kwa urahisi
 
Dodoma!

Kamati ya Siasa ya CCM Mkoa wa Dodoma ikiongozwa na Mwenyekiti wake, Godwin Mkanwa imebaini uuzwaji wa gari la Halmashauri ya Wilaya ya Mpwawa lenye thamani ya milioni 140 kwa million 4.9 kinyume na sheria ya mali za Umma!


Chanzo: Darmpya
Taja aliyenunua, sio jina, kama hutakuta ni mwanachama au kiongozi mwenzao wa ccm.
 
Sio bei za ajabu. Kitu kikishatumika miakamingi thamani inashuka. Hizi gari zakawaida wajapani wanazitumia wakiwa wamenunua mpya 0km kwa bei kubwa ila ikichoka tunanunu usd 800 ikifika bongo ushuru unafika hadi 13m.
 
Back
Top Bottom