Dodoma: Upinzani wampeleka Spika Ndugai Mahakamani

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,490
54,884
344738bb3384c1bfed906b72ab65ca37.jpg

Upinzani wamefungua shauri Mahakama Kuu Dodoma wakiiomba mahakama itamke kuwa Spika ataliongoza Bunge kwa kufuata kanuni za kudumu tu.

Hii ni baada ya Spika kumzuia John Mnyika kuhudhuria bunge kwa wiki moja ambapo upinzani wamedai hakuna adhabu kama hiyo kwenye kanuni.

Wabunge Watatu Chama Cha Demokrasia Na Maendeleo Chadema Wamemfungua Mashitaka Mahakama Kuu Ya Dodoma Kupinga Uamuzi Wa Bunge Kuwapa Adhabu Halima Mdee, Estar Bulaya Na John Mnyika

Mdee, Mnyika Na Bulaya Wawashitaki Spika Na Mwanasheria Mkuu

Hakuna kanuni inayosema Spika anao owezo wa kumfungia Mbunge siku saba. Haipo, bali anaingiza kanuni zake mwenyewe kutoka kichwani mwake.
 
Ndugai yuko sahihi. Kafuata kanuni na kanuni zenyewe zinaruhusu adhabu kama hiyo kutolewa. Bunge linaweza hata kumpiga ban ya kudumu mbunge. vilevile maamuzi ya bunge hayahojiwi wala kujadiliwa na mahakama yoyote ile. Nahisi tundu lisu kawapa huu ushauri. Tundu lissu nilikuwa namuheshimu sana, sasa naanza kumuona ni mwanasheria uchwara.
 
Published on 20 Jun 2017
Wabunge Watatu Chama Cha Demokrasia Na Maendeleo Chadema Wamemfungua Mashitaka Mahakama Kuu Ya Dodoma Kupinga Uamuzi Wa Bunge Kuwapa Adhabu Halima Mdee, Estar Bulaya Na John Mnyika

Mdee, Mnyika Na Bulaya Wawashitaki Spika Na Mwanasheria Mkuu

Soure: Global Tv Online

c.c. figganigga au moderator kuipandisha video clip hii ktk uzi wake.
 
Lissu anatafuta kiki,kuficha maovu yake ya ACACIA mining yaliofeli.
Huko bungeni hajamaliza ngazi za kuomba marejeo anakimbilia mahakamani.
Bahati mbaya mahakama,imefungwa mikono kwa kujadili kinachoamuliwa na bunge,hiyo kesi imeshaanguka kabla hata ya kufunguliwa.
 
Ka

Kazi bure tu. Haya nayo ndio matumizi mabaya ya pesa
 
Lissu anatafuta kiki,kuficha maovu yake ya ACACIA mining yaliofeli.
Huko bungeni hajamaliza ngazi za kuomba marejeo anakimbilia mahakamani.
Bahati mbaya mahakama,imefungwa mikono kwa kujadili kinachoamuliwa na bunge,hiyo kesi imeshaanguka kabla hata ya kufunguliwa.
Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania iko wazi, ibara ya 100:

100. Uhuru wa majadiliano na utaratibu wa shughuli
(1) Kutakuwa na uhuru wa mawazo, majadiliano na utaratibu katika Bunge, na uhuru huo hautavunjwa wala kuhojiwa na chombo chochote katika Jamhuri ya Muungano, au katika mahakama au mahali penginepo nje ya Bunge.
 
Anamuiga Harmorappa lakini hawezi kumfikia yule jamaa. Lisurappa.
 
Ndugai yuko sahihi. Kafuata kanuni na kanuni zenyewe zinaruhusu adhabu kama hiyo kutolewa. Bunge linaweza hata kumpiga ban ya kudumu mbunge. vilevile maamuzi ya bunge hayahojiwi wala kujadiliwa na mahakama yoyote ile. Nahisi tundu lisu kawapa huu ushauri. Tundu lissu nilikuwa namuheshimu sana, sasa naanza kumuona ni mwanasheria uchwara.
Tena uchwara si kidogo.
 
Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania iko wazi, ibara ya 100:

100. Uhuru wa majadiliano na utaratibu wa shughuli
(1) Kutakuwa na uhuru wa mawazo, majadiliano na utaratibu katika Bunge, na uhuru huo hautavunjwa wala kuhojiwa na chombo chochote katika Jamhuri ya Muungano, au katika mahakama au mahali penginepo nje ya Bunge.
Ndio hapo sasa ninapomuona Tundu Lissu anawadanganya bawacha,halafu ni mavivu ya kusoma,yenyewe Lissu au Mange akisema tu yanafuata mkumbo
 
Ndio hapo sasa ninapomuona Tundu Lissu anawadanganya mazwazwa ya bawacha,halafu ni mavivu ya kusoma,yenyewe Lissu au Mange akisema tu yanafuata mkumbo
Jamaa hawaumizi kabisa vichwa vyao, kila kitu wamemuachia lissu. kila atalosema lissu ni sawa tu. Nahisi hata akisema wagome kula watakubali. Mwishowe watamuachia awapigie kampeni majimboni kwao.
 
I see no reason for interested parties on either side to engage in fights outside the boxing ring (street fights). The aggrieved parties have already asked the court to weigh in on the legality of their punishment. Hopefully, we will soon see or know who walks away with a triumphant smile! I love this mode of showdown!
 
Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania iko wazi, ibara ya 100:

100. Uhuru wa majadiliano na utaratibu wa shughuli
(1) Kutakuwa na uhuru wa mawazo, majadiliano na utaratibu katika Bunge, na uhuru huo hautavunjwa wala kuhojiwa na chombo chochote katika Jamhuri ya Muungano, au katika mahakama au mahali penginepo nje ya Bunge.
Nilijiuliza hili suala la wabunge kumpeleka Mahakamani Mh. Spika nikashindwa kupata jibu. Nashukuru kwa kutuwekea kifungu katika Katiba kuhusu UHURU WA MAJADILIANO NA UTARATIBU WA SHUGHULI mkuu.
 
Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania iko wazi, ibara ya 100:

100. Uhuru wa majadiliano na utaratibu wa shughuli
(1) Kutakuwa na uhuru wa mawazo, majadiliano na utaratibu katika Bunge, na uhuru huo hautavunjwa wala kuhojiwa na chombo chochote katika Jamhuri ya Muungano, au katika mahakama au mahali penginepo nje ya Bunge.

Kama kila kitu katika ibara hiyo kitavunjwa, je Mahakama haihusiki hapo?
 
Ndugai yuko sahihi. Kafuata kanuni na kanuni zenyewe zinaruhusu adhabu kama hiyo kutolewa. Bunge linaweza hata kumpiga ban ya kudumu mbunge. vilevile maamuzi ya bunge hayahojiwi wala kujadiliwa na mahakama yoyote ile. Nahisi tundu lisu kawapa huu ushauri. Tundu lissu nilikuwa namuheshimu sana, sasa naanza kumuona ni mwanasheria uchwara.
Tuwekee basi hapa
 
Back
Top Bottom