Dodoma: Upinzani wampeleka Spika Ndugai Mahakamani

Tatizo la hawa watoto wa upinzani hawana adabu na heshima kabisaaaàa....sijui wanavuta nn kabla ya kuingia bungeni
 
Kama serikali inashitakiwa ambayo Bunge na Mahakama zinaitegemea iweje Bunge lenyewe lisishtakiwe!? Mahakama ndio chombo cha mwisho cha kufafanua sheria sio ndugai wala jpm. Kilaza wewe.
Serikali inashtakiwa kwa mambo ambaya inaweza kushtakiwa. Hata bunge linaweza kushtakiwa kwa mambo ambayo hayahusiani na shuguli za mijadala bungeni ikiwa ni pamoja na utekelezaji wa kanuni zake. Bunge linaweza likashtakiwa endapo litashindwa kumlipa stahiki mbunge au mtumishi mwingine wa bunge. Bunge linaweza kushtakiwa endapo litakiuka sheria za utumishi, manunuzi, mikataba, mazingira, n.k. Bunge kamwe halitapatikana na kesi ya kujibu katika shtaka lolote linalohusu utaratibu wa bunge katika shughuli zake kama bunge.
 
Spika anaweza kumfungia mbunge kipindi chote cha ubunge wake asiingie bungeni!?

Wewe mungu wako nani!? Magu au ndugai!?
Hii nchi haijajengwa katika misingi ya kilevi na utovu wa nidhamu unaonyeshwa na na haya machadema

Wafuta bangi na walevi ndo wanaweza kubeza uamuzi wa speaker ila kwa wazima wa akili tunamuunga mkono
Tatizo la hawa watoto wa upinzani hawana adabu na heshima kabisaaaàa....sijui wanavuta nn kabla ya kuingia bungeni
 
Ndugai yuko sahihi. Kafuata kanuni na kanuni zenyewe zinaruhusu adhabu kama hiyo kutolewa. Bunge linaweza hata kumpiga ban ya kudumu mbunge. vilevile maamuzi ya bunge hayahojiwi wala kujadiliwa na mahakama yoyote ile. Nahisi tundu lisu kawapa huu ushauri. Tundu lissu nilikuwa namuheshimu sana, sasa naanza kumuona ni mwanasheria uchwara.
Lazima atakuwa amejipanga muda wote tangu adhabu ilipotolewa alikuwa anafanya nini? Alikuwa anatafuta vifungu
 
Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania iko wazi, ibara ya 100:

100. Uhuru wa majadiliano na utaratibu wa shughuli
(1) Kutakuwa na uhuru wa mawazo, majadiliano na utaratibu katika Bunge, na uhuru huo hautavunjwa wala kuhojiwa na chombo chochote katika Jamhuri ya Muungano, au katika mahakama au mahali penginepo nje ya Bunge.
Uhuru wa mahojiano, mawazo, na utaratibu....... hivi havitahojiwa na chombo chochote,; utaratibu waliojiwekea wabunge hautahojiwa. Je utaratibu wa mwaka umo kwenye kanuni? Utaratibu wa wiki uko kwenye kanuni? Kama upo hauwezi kuhojiwa, kama haupo utahojiwa!
 
Spika anaweza kumfungia mbunge kipindi chote cha ubunge wake asiingie bungeni!?
Inawezekana. Kwa kushirikiana na kamati ya maadii mbunge anaweza kusimamishwa kazi kwa kipindi chake cha ubunge. kanuni ya 74 (5)
 
Lazima atakuwa amejipanga muda wote tangu adhabu ilipotolewa alikuwa anafanya nini? Alikuwa anatafuta vifungu
Hivyo vifungu labda kama kavitoa chini ya ardhi au angani, vitakuwa si vya tz kwa hiyo havitamsaidia chochote
 
Ndugai yuko sahihi. Kafuata kanuni na kanuni zenyewe zinaruhusu adhabu kama hiyo kutolewa. Bunge linaweza hata kumpiga ban ya kudumu mbunge. vilevile maamuzi ya bunge hayahojiwi wala kujadiliwa na mahakama yoyote ile. Nahisi tundu lisu kawapa huu ushauri. Tundu lissu nilikuwa namuheshimu sana, sasa naanza kumuona ni mwanasheria uchwara.
Bunge likisema mbunge fulani auawe maamuziki yake ni sawa na hayatahojiwa(Nazungumzia pale bunge linapominya haki za watu hamuwezi kuhoji) chombo pekee cha kutoa na na kusimamia haki ni mahakama pekee..!
 
Hivyo vifungu labda kama kavitoa chini ya ardhi au angani, vitakuwa si vya tz kwa hiyo havitamsaidia chochote
HEBU TUWEKEE NA VIFUNGU VINAVYOMLINDA MBUNGE DHID YA SPIKA, AU KANUNI ZINAMLINDA SPIKA PEKEE DHIDI YA MBUNGE ILA MBUNGE HALINDWI NA KANUNI DHIDI YA SPIKA?
 
Uhuru wa mahojiano, mawazo, na utaratibu....... hivi havitahojiwa na chombo chochote,; utaratibu waliojiwekea wabunge hautahojiwa. Je utaratibu wa mwaka umo kwenye kanuni? Utaratibu wa wiki uko kwenye kanuni? Kama upo hauwezi kuhojiwa, kama haupo utahojiwa!
Mkuu, ibara ya 100 ya katiba ya JMT inataja UHURU WA UTARATIBU. Uhuru wa utaratibu ni open term lililowekwa makusudi ili kulipa bunge UHURU WA UTARATIBU. bunge halijafungwa kutumia utaratibu uliowekwa na katiba. uhuru wa utaratibu ni pamoja na kutafsiri taratibu zenyewe. Kwa tafsiri rahisi kabisa ya taratibu za bunge uwezekano wa mbunge kufungiwa kwa kipindi cha kuanzia kikao kimoja hadi vikao vyote au kipindi chote cha ubunge wake.
 
Bunge likisema mbunge fulani auawe maamuziki yake ni sawa na hayatahojiwa(Nazungumzia pale bunge linapominya haki za watu hamuwezi kuhoji) chombp pekee cha kutoa na na kusimamia haki ni mahakama pekee..!
Je, kuuawa au kuua mtu ni shughuli ya bunge? Jifunze kufahamu shughuli za bunge na shuguli zisizo za bunge
 
HEBU TUWEKEE NA VIFUNGU VINAVYOMLINDA MBUNGE DHID YA SPIKA, AU KANUNI ZINAMLINDA SPIKA PEKEE DHIDI YA MBUNGE ILA MBUNGE HALINDWI NA KANUNI DHIDI YA SPIKA?
Kanuni zinawalinda wabunge wote, tena zinalinda kiti cha spika
 
Ndugai yuko sahihi. Kafuata kanuni na kanuni zenyewe zinaruhusu adhabu kama hiyo kutolewa. Bunge linaweza hata kumpiga ban ya kudumu mbunge. vilevile maamuzi ya bunge hayahojiwi wala kujadiliwa na mahakama yoyote ile. Nahisi tundu lisu kawapa huu ushauri. Tundu lissu nilikuwa namuheshimu sana, sasa naanza kumuona ni mwanasheria uchwara.
et nilikua namheshm, heshma yako kushuka inampunguzia nn? Kwa mfano tu
 
Ndugai yuko sahihi. Kafuata kanuni na kanuni zenyewe zinaruhusu adhabu kama hiyo kutolewa. Bunge linaweza hata kumpiga ban ya kudumu mbunge. vilevile maamuzi ya bunge hayahojiwi wala kujadiliwa na mahakama yoyote ile. Nahisi tundu lisu kawapa huu ushauri. Tundu lissu nilikuwa namuheshimu sana, sasa naanza kumuona ni mwanasheria uchwara.
Ww hata usipo muheshim LISU hakuna hasara yoyote
 
Back
Top Bottom