DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

Uhalifu kwa kupitia Uzalendo haujawhi mwcha kiongozi salama tuwakumbuke Gaddfi na wenzake waliwaozesha mpaka vijana Libya lakini mwisho wao ulikuwa mbaya na majuto namkumbusha kiongozi anayetumia Libya akumbuke hili
 
Lissu nimpango wa Mungu.
Waliomshambuliwa wataaibika mchana kweupe.
Ni swala la mda tu.
"Serikali ya ccm askari wao hawakosi risasi..." by SSH
 
Asante Baba Mungu ulie juu kwa muujiza wa Lissu. Hakika Tanzania na dunia tunashuhudia utukufu wako.
 
Laana zinatembea nao albadili ilishaanza kazi wengine wameshamalizana wao kwa wao ili kuficha ushahidi. Wametangulia wao kabla yake, Ni sawa na waliotaka Lowasa atangulie wakatangulia kabla yake
 
Kuna ujinga mtu anaufanya kumtamka MUNGU kipuuzi puuzi, mada hizi zinaletwa na watu ambao ni hao hao wanaotamani madaraka,kam ni mtu mpenzi tu wa chama swali ni ulikuwepo mpaka uthibitishe kua serikali ilifanya tukio hilo? Huyu mshambuliwa yeye siyo binadamu hata akawa na maadui? Serikali gani ifanye tukio hilo kizembe kiasi hicho? Huyo yamkini alikua na visa na watu au alitengeneza movie tu maana wote wapiga kelele humu wala hawakuona kwa macho tukio

Natambua upande huo unaweza kua na matatizo yake kadhaa maana nao ni watu siyo Malaika, lakini kutuijia na utetezi wa wapinzani na kutuaminisha kua wao ni kama MUNGU asiye na mapingufu yake huu ni ujinga mkubwa mkae nao ninyi wenyewe

Wananchi wengi tunaona wazi jinsi Rais anavyopambana na kutuvusha kwenye ugumu wa maisha haya ya nchi yetu, ninyi wenye hasira nae ni walevi wa madaraka wanasiasa mnaotaka kwenda kula,au ninyi ni wale wa vyeti feki, au ni ale wala rushwa mliotumbuliwa

Naomba niwaambie kwamba JPM yuko sahihi sana na hasira zenu za kuaminisha umma mchache huu wa mitandaoni sioni kama mtafanikiwa
 

Huu ndio ukweli wa CCM ilipofika


1599540095177.png
 
Mnatetea mambo ya ajabu sana!Mpo humu kwa minajiri ya kulinda matumbo yenu na familia zenu, kwani kulitambua hili laitaji Phd!? Jiulize wale walinzi wote wa eneo hilo walikuwa wapi? zile camera za CCTV ziling'olewa na nani baada ya tukio? kwa nini hadi leo hakuna uchunguzi na washukiwa? Je, wajua kilichompeleka na kumtoa faster Bashite kule Idodonya?
 
Back
Top Bottom