DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

WATANZANIA TUNATAKA TUAMBIWE ULITUFANYIA NINI, NA UTATUFANYIA NINI. HATUTAKI HURUMA NDO IWE SIFA YA KUPEWA IKULU.
Wewe kama hujui nini Lissu kafanya kwa watu kama wakili kabla ya kuingia bungeni na pia kama mbunge wa JMT basi wewe ni bonge la MTU asiyejitambua au kujua ya nchi hii.
Ukinitajia mbunge hata mmoja aliyeonyesha kuipigania nchi hii kusimamia sheria na katiba bungeni zaidi ya Lissu katika historia basi nitakaa kimya kabisa.
 
KWAHIYO HUYO JAMA YENU, KUMBE ANAGOMBEA URAISI WA MAWAKILI, SIO WATANZANI TENA? HAYA WATAMCHAGUA HAOHAO MAWAKILI.
BILASHAKA MUMEVURUGWA BIBAYA.

NDIO MAANA KASEMA WATUMISHI WA UMA NI TAKATAKA ZA JALALANI.
 
Uwezo wako wa akili uko chini sana. Kama lugha hii ya kiswahili umeshindwa kunielewa utanielewa na ipi sasa?
Wahenga waliposema "never argue with a ....." walijua wasemacho.
 
Uwezo wako wa akili uko chini sana. Kama lugha hii ya kiswahili umeshindwa kunielewa utanielewa na ipi sasa?
Wahenga waliposema "never argue with a ....." walijua wasemacho.
Kutukanana hakuondoi uhalisia wa jamboo.. Kiki zenu zote na mpropaganda zenu zimefika mwishooo.
 
Kutukanana hakuondoi uhalisia wa jamboo.. Kiki zenu zote na mpropaganda zenu zimefika mwishooo.
Propaganda zilizofikia mwisho ni za CCM maana hata wakubwa wenu walio ndani ya kampeni wanalijua hilo isipokuwa nyinyi vuvuzela mnaogawiwa tisheti na kofia.
Wasome wenzako wenye ufahamu
IMG-20200907-WA0072.jpg
IMG-20200907-WA0073.jpg
 
Nani alisuka hizi njama za kumpiga Risasi Tundu Lissu mchana kweupe?

Jibu sahihi zaidi wanalijua waliotumwa na waliowatuma. Ila kamwe Kama Mungu akisimama huwezi kufanikisha kumuua binadamu mwenzako.

Mungu awape maisha marefu wale woote walionusurika vifo kwa namna mbalimbali zilizotengenezwa na binadamu.

Ila basi ni "nani aliunda njama za kumpiga Risasi Tundu Lissu?".
 
Swali hili ni Rahisi ila ni Fikirishi: Binadumu yule alitendewa Unyama na Kilichoendelea baada ya tukio lile Kiliotesha Mbegu za Chuki . Ni nani aliplan na Kutenda Unyama ule, Swali hili sio rahisi kwa maneno Mengine.
 
Waliompiga Lissu mchana kweupe MUNGU anawajua, na hata kama mlengwa hakupoteza maisha ila damu iliyomwagika i-juu yao wote waliohusika. Kwa akili za kibinadamu hatujui ni nini kinaendelea kwa wale walioelekeza risasi upande wa kushoto mwa gari la Lissu, lakini kama MUNGU aishivyo, ni lazima (100%) wameshapata malipo yao chini ya jua. Na nina hakika 100% kabla kizazi hiki hakijapita, kila kitu kitakuwa hadharani.
 
Mnaleta maswali mepesi hapa, angalia mazingira yake, na baadae namna alivyotunzwa na wahusika, ujiulize alipata msaada gani kwa watu waliopaswa kumsaidia, basi waulize hao!
 
Mnaleta maswali mepesi hapa, angalia mazingira yake, na baadae namna alivyotunzwa na wahusika, ujiulize alipata msaada gani kwa watu waliopaswa kumsaidia, basi waulize hao!
Unaongea nn wewe, tusaidie kama kuna Rb yyte pale Dodoma na Uchunguzi umefikia wapi tangu tarehe 07/09/2017
 
Tai yuko angani mkuu.... Favya hivi
Kuna mada ya roho saba ama tisa? Za paka
Kuna yale magari ya zamani SISU, IVECO na LAYLAND tulikuwa tunayaita roho ya paka...!!!
Fanya hivi mkuu...jicho la taihuona mbali sanaView attachment 1723464
Watu wameteseka sana hii awamu. Ulikuwa ni miaka sita ya visasi uonevu ubambikiaji kesi hovyo. Mpaka leo Kuna watu wako wanashikiliwa kwa tuhuma zisizokuwa na mashiko alimradi wamfurahishe awapandishe vyeo.

Aende tu tutamkuta huko paradiso
 
Back
Top Bottom