Dodoma: Serikali kuanzisha kiwanda cha mafuta ya bangi

alafu mkuu huu upumbavu wa maadili unaturudisha nyuma sana

Sent using Jamii Forums mobile app
utabaki hivyo maana bila maadili ,utakuta siku dada yako na kaka yako wanapigana miti,utakuta siku baba na mtoto wanalovelove,eeee bila maadili hakuna anayeweza kutoa heshima...so we should not risk kisa bangi...tunamazao mangapi ya biashara tumeshindwa kuyatafutia masoko,yees tumeshindwa, leo tunarukia bangi sababu imepanda bei ,mbona kunakipindi mbaazi ilipanda bei leo je? lets morals be morals
 
utabaki hivyo maana bila maadili ,utakuta siku dada yako na kaka yako wanapigana miti,utakuta siku baba na mtoto wanalovelove,eeee bila maadili hakuna anayeweza kutoa heshima...so we should not risk kisa bangi...tunamazao mangapi ya biashara tumeshindwa kuyatafutia masoko,yees tumeshindwa, leo tunarukia bangi sababu imepanda bei ,mbona kunakipindi mbaazi ilipanda bei leo je? lets morals be morals
tofautisha maadili na anasa
marekani huwezi kuta wanazungumzia vitu vya maadili maana hayo hayana maana kila mtu kaumbwa aenjoy kadri awezavo ngoja nkujibu why bangi 1st wanatumia mgongo wa kuruhusu bangi kama dawa ila uhalisia ni kurasimisha bangi ili nchi ipate mapato hapo kwenye kuvuta ni ishu binafsi maana ikiruhusiwa hakuna anayekuforce n maamuzi binafsi 2nd angalia upana wa maslahi kwa taifa tz wavuta bangi ni 3.6milion ukisema tu kila mtu anatumia 500 per day ni kama 1.8 trilion au 180bilion io n per day hapo ukisema utoze kodi unaweza pata 18bln per day na hao 3.6m ni kutokana na utafiti kiuhalisia ni zaidi ninavosema maadili yanaturudisha nyuma ni kwamba tunawaanza maadili ambayo hayatupi faida yoyote kwa mfano kwani kaka na dada wakisex tatizo liko wp kwako hiyo n enjoyment yao ww haipaswi kukuhusu ww fanya maisha yako mkuu vitu vyote vinapita duniani ila maisha ni ku enjoy ukiweza pita na mtoto wa mama mdogo pita hata bible haijakataza ila m haipaswi kunihusu
3rd maadili yanapaswa kufundishwa na wazazi na mashuleni basi tuwekeze huko taifa lisiwaze maadili hayo ni mambo familia zitajua zenyewe na shule tuongeze kufundisha sana watoto wetu kuwa open mind wajue dunia inaendaje wajue technology wajue madhara ya na faida za vitu mbali mbali hata ushoga wafundishwe kwamba hili jambo ni baya hivi na vile hata bangi waelezwe Ato Z kwanzia mtoto anakua akizingatiwa hapo hata yeye akikua atajua n namna gani aji shape maadili yake ila taifa lisiwe na iyo agenda kwamba tunaacha vitu vya maana kisa maadili ukipata kodi kwenye weed ya 100 billion per month hio ni pesa inatosha kujenga more than 10 hospital tena za rufaa huu ujinga wa maadili naona unaturudisha nyuma sana waafrica kwa kungangania maadili akati kiuhalisia tunatisha angalia matukio ya kubaka na mengineyo yapo humu tz kuliko marekani naweza nkasema tanzania watu wanaosmoke weed ni wengi mno huku mtaani na pia mm nnaowajua wengi wanamafanikio mazury mnooo hii ya kusema bangi mbaya ni tulilishwa utotoni na tumengangania emu jamani lets be free in our mind

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niliwahi kuandika humu kuwa kuna siku hizi "shows" za Kamanda Muroto akikwea mlima kwenda kufyeka mashamba ya bangi zitageuka majuto! Dunia inakwenda kasi sana, bangi ni zao muhimu sana. Bangi ilipewa jina baya kwa makusudi kabisa ili kulinda biashara ya pombe, sigara nk ambazo madhara yake hata ukimuuliza mtoto wa darasa la kwanza atakwambia.
 
malisoka,
Kwan ni jamaica tu ndo wameruhusu mbona canada na baadhi ya majimbo ya marekani waliruhusu vipi na huko statistic zinasimaje?
 
Wadau wa ganja wakiwa wanaitetea wanakwambia Mungu alipoumba Dunia, aliona kila kitu ni chema.

Tatizo la Bangi ni kuwa labda matumizi yake sahihi mpaka sasa hayajagundulika.

Tusubiri labda tutakuja gundu matumizi sahihi ya Bangi huko mbeleni.
 
hatari kubwa.

Nchi kama Jamaica ambayo bangi imeruhusiwa.

Ndiyo moja ya nchi yenye mauaji makubwa kila mwaka duniani

Wizi wa fedha, heleni dhahabu nk

Ni nchi yenye magenge hatari ya madawa ya kulevya.

Kwa hiyo Tanzania ijiandae kwa hayo.

Tofautisheni kati ya bangi na cocaine.
 
Ukisikiliza hotuba za waliochangia mjadala huu wa BANGI huko Bungeni utaona wamejikita zaidi kwenya masuala ya uchumi,wanaposema bangi imepanda bei maana akili zao zimejikita kwenye pesa hawakumbuki tena maadili,

lakini pia wanazungumzia kuhusu tiba iliyogunduliwa na wazungu ikihusisha bangi ila wamesahau kuwa bangi imekuwa tiba kwa miaka yote ambayo ilikuwa inapigwa vita na wakulima wa zao hili walichomewa bangi yao na nyingine ilichukuliwa bila kujua inapelekwa wapi.Jambo kubwa hapa ni kuwa katika kulima itatumiwa na wengi,kifupi mapusha watapata unafuu wa kusambaza vijiti mtaani....letaaaa baba legalize it yeah.... 🥳
Hahahah hahaha leta leta tuinyweeeee
 
Ngugai anaishabikia kwa vile ni mvutaji maarufu wa hizo mambo!!
 
Mkakati huu ni hatari. Majumbani watu wanalea watoto waliohadhirika na uvutaji bangi. Hivi fedha ni muhimu kuliko watoto wetuuu. Inasikitisha sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
emu kuwa unafanya research mkuu emu tuletee hao watoto wanaolelewa majumbani kwa sababu ya weed kwanza hakuna mahali mtoto anaweza pata bangi maana inauzwa chini chini na anayekuuzia lazima anakujua kwa mbali ila twende kwenye bia ni family ngapi zinateseka kisa wazazi wanakunywa pombe nahisi karibia 50% ya familia hazina amani kisa pombe ukienda kwenye sigara uko ndio kuna kansa nakila kitu kwani hayo huyaoni ni majanga makubwa jitahidi usichanganye kati ya weed na drugs

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wadau wa ganja wakiwa wanaitetea wanakwambia Mungu alipoumba Dunia, aliona kila kitu ni chema.

Tatizo la Bangi ni kuwa labda matumizi yake sahihi mpaka sasa hayajagundulika.

Tusubiri labda tutakuja gundu matumizi sahihi ya Bangi huko mbeleni.
Ccm ya viwanda ndo imeshagundua matumizi yake ikaaamua kusaka wawekezaji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Great Jay nazungumza/naandika kama mzazi na mwalimu. Vijana wengi wameshindwa kufikia ndoto zao kwa ajili ya uvutaji wa bangi. Wazazi wapo tunawajua na vijana tunao mitaani.

Baadhi ya wabunge wanashabikia bidhaa hii huko mbeleni tujipange. Kwa sasa **** amani kiasi mitaani kwa kuwa serikali imedhibiti bidhaa hii. Huko Tarime bangi imesababisha uhalifu usioisha. Maeneo ambalo bangi inatumiwa sana uhalifu huko ni hatari. Rejea Njombe, Mara, Arusha na mijini kwa jumla. Jamani WAZAZI tuliangalie hili. Jumuia ya WAZAZI CCM na viongozi wa dini jamani kushauri serikali. Kizazi kitaangamia.

Wachina walipiga kilimo cha bangi huko zamani. Tujifunze kutoka kwao.
emu kuwa unafanya research mkuu emu tuletee hao watoto wanaolelewa majumbani kwa sababu ya weed kwanza hakuna mahali mtoto anaweza pata bangi maana inauzwa chini chini na anayekuuzia lazima anakujua kwa mbali ila twende kwenye bia ni family ngapi zinateseka kisa wazazi wanakunywa pombe nahisi karibia 50% ya familia hazina amani kisa pombe ukienda kwenye sigara uko ndio kuna kansa nakila kitu kwani hayo huyaoni ni majanga makubwa jitahidi usichanganye kati ya weed na drugs

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpumbavu mkubwa wewe, hujui faida za bangi, dini zenu za hovyo sana, mmekariri mambo bila kutumia akili.
Bangi kaiotesha Mungu, inatoa mbegu hata ndege wanaipenda mno, mi nna kuku wangu hapa ukiwatupia mbegu za bangi wanakula mno, wajinga wakubwa ambao mmeambiwa na wazungu eti bangi mbaya, kwani machizi wote Milembe ni kwa sababu wamevuta bangi, kama si hivyo uchizi hausababishwi na ndum!! Bitch
Soon bangi itahalalishwa.

Ila na hospital mfano wa ya milembe ya Dodoma zijengwe kila mkoa na wataalamu wa pia wa magonjwa ya uchizi waongezwe(wapatie mafunzo).

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom