Dodoma: Rais wa Msumbiji, Filipe Nyusi awasili nchini kwa ziara ya kikazi, Apokelewa na Rais Magufuli

Walisema bunge likirushwa live watanzania watakosa muda wa kufanya kazi, nape hii laana itamfuata hadi kaburini nikikumbuka alivyokuwa anaongea kwa mbwembwe natamami yule mtu asiyejurikana angemuwasha tu pale st. peters!
 
Hapana Mkuu. Pumzi ni zawadi tunapewa bure na mwenyezi Mungu.

Najua hawa watu wanaudhi sana especially wakiwa ule upande mwingine wa fence. Lakini mtakie heri aishi na kuona athari za yale aliyoyatetea kwa nguvu zake zote.

It is called Karma! Don't seek revenge. Sit around and wait. Nature will sort them out!
 
Nikifuatilia, Marais wa Msumbiji, karibu wote waliotawala nchi hiyo wanafahamu kiswahili, na TANZANIA wanaifahamu.
Lakini, nchi ya Msumbiji au Tanzania zimeshindwa kutengeneza mazingira rafiki kwa wananchi wake, kibiashara, kijamii na kiuchumi.!!!
 
Watanzania daini katiba mpya na tume huru ccm itoke vinginevyo mtapata tabu sana
 
Back
Top Bottom